nakujibu wewe unayetoa pendekezo nichujwe kwa kuwa unaona sina sifa za kuwa humu jf. Sijui hizi ni akili za wapi? Kama vipi chagua kiingereza au kifaransa tujibishane huko wengine wasijue tunabishania nini
Mjadala washariki ya kati mara zote unaegemea kwenye ukristo na uislaam,mkristo anavutia kwake na Muislaam anavutia kwake Yani kila mmoja ndio mwenye hoja za msingi Kwa mujibu wa Mahaba ya dini yake hata kama ukweli haupo hivyo.