Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #21
Wewe hii ni ndio hoja yako?Huna hoja zaid ya kutupa story tu kama umefika Mashariki ya kati, STUPID
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hii ni ndio hoja yako?Huna hoja zaid ya kutupa story tu kama umefika Mashariki ya kati, STUPID
niondolewe hata sasa! Yaani nitoe maoni kupingana nanyi ndio mnikoseshe sifa ya kuwa mwana jf? That's poor mind in the perspective thinkingUmewaza kama mtu duni sana. Huna hata sifa ya kuwa kwenye jukwaa hili.
Sema JFs haifanya kuchuja watu wewe tungekuondoa tu.
Mkuu kwani huu uzi umelazimishwa?niondolewe hata sasa! Yaani nitoe maoni kupingana nanyi ndio mnikoseshe sifa ya kuwa mwana jf? That's poor mind in the perspective thinking
nakujibu wewe unayetoa pendekezo nichujwe kwa kuwa unaona sina sifa za kuwa humu jf. Sijui hizi ni akili za wapi? Kama vipi chagua kiingereza au kifaransa tujibishane huko wengine wasijue tunabishania niniMkuu kwani huu uzi umelazimishwa?
Heheeeniondolewe hata sasa! Yaani nitoe maoni kupingana nanyi ndio mnikoseshe sifa ya kuwa mwana jf? That's poor mind in the perspective thinking
TL hakujali hilo kalipua kama ilivyoMjadala washariki ya kati mara zote unaegemea kwenye ukristo na uislaam,mkristo anavutia kwake na Muislaam anavutia kwake Yani kila mmoja ndio mwenye hoja za msingi Kwa mujibu wa Mahaba ya dini yake hata kama ukweli haupo hivyo.