Kwenye Mjadala wa Vita Ya Israeli na Palestina( Hamasi) Mh Tundu Lissu hana Mpinzani. Ameibua Hoja nzito na siri Nzito iliyofichwa kwa Miaka 2000

Kwenye Mjadala wa Vita Ya Israeli na Palestina( Hamasi) Mh Tundu Lissu hana Mpinzani. Ameibua Hoja nzito na siri Nzito iliyofichwa kwa Miaka 2000

Umewaza kama mtu duni sana. Huna hata sifa ya kuwa kwenye jukwaa hili.

Sema JFs haifanya kuchuja watu wewe tungekuondoa tu.
niondolewe hata sasa! Yaani nitoe maoni kupingana nanyi ndio mnikoseshe sifa ya kuwa mwana jf? That's poor mind in the perspective thinking
 
Mkuu kwani huu uzi umelazimishwa?
nakujibu wewe unayetoa pendekezo nichujwe kwa kuwa unaona sina sifa za kuwa humu jf. Sijui hizi ni akili za wapi? Kama vipi chagua kiingereza au kifaransa tujibishane huko wengine wasijue tunabishania nini
 
Mjadala washariki ya kati mara zote unaegemea kwenye ukristo na uislaam,mkristo anavutia kwake na Muislaam anavutia kwake Yani kila mmoja ndio mwenye hoja za msingi Kwa mujibu wa Mahaba ya dini yake hata kama ukweli haupo hivyo.
 
TL hakujali hilo kalipua kama ilivyo
 
Back
Top Bottom