Kwenye mkataba nimemwandika kama mrithi Ila yeye kamwandika baba yake

Kuwaheshimu tunawaheshimu sana lakini utambue kwambaa, kulea mtoto ni jukumu la wazazi waliomleta duniani, ndio maana ukiacha kutunza mtoto unaweza kushtakiwa. Hayo mambo sijui nimetumia gharama nyingi blabla ni uzazwa , ndio jukumu lako hilo kwamba ukizaa mtoto ni jukumu lako hilo
 
Nzuri sana hiyo.

LAKINI

SAFARI BADO....
 
Hapa tupo watu wazima, hatupendi fix za kifala.

Wewe umsomeshe mtoto mpaka PhD ndio nakusikia wewe, wonders shall never end.
Tatizo unafananisha wote humu ni wakulima wa Sinza! Behave mtoto wangu wa pili ana PhD kijana. Usishangae dad wake kaipata akiwa na miaka 8! Wengine humu tupo wazee! We dogo
 
Hapa tupo watu wazima, hatupendi fix za kifala.

Wewe umsomeshe mtoto mpaka PhD ndio nakusikia wewe, wonders shall never end.
Unakuta mtu hana kipato kizuri anahangaika kumsomesha hadi chuo kikuu hadi anakopa ili hali mikopo ipo. Acha akope bodi ya mikopo ili naye awe na uchungu wa maisha.
 
Simple. Mwambie kwa lugha nzuri tu na wewe waenda kuhuisha tena taarifa hixo na kumuondoa yeye kama mrithi na kumweka baba yako na watoto.
 
Unakuta mtu hana kipato kizuri anahangaika kumsomesha hadi chuo kikuu hadi anakopa ili hali mikopo ipo. Acha akope bodi ya mikopo ili naye awe na uchungu wa maisha.
Mimi nimeshaweka utaratibu kutoboka mwisho form four, high school utakwenda shule ya serikali na chuo utasoma kwa mkopo uje ulipe mwenyewe madeni yako.

Watoto wenyewe wa sasa ni kingereza tu kichwani Hamna kitu.
 
Matola , kila siku nadefend JPM hapa JF maana nilimfahamu tangu anasoma Lake secondary school baada ya kufukuzwa katoke seminary. Tulimzidi umri. Hata Pascal Mayalla kabla ya kuumia mkono na lile lipikipiki likubwa! Oh nisije gundulika nikafuta hii ID. Please behave, nasisitiza mtoto wako akiolewa acha aende akajenge kwa mumewe. Wewe tafuta vyako si kutegemea Watoto. Acha Watoto wajenge maisha yao. Wewe jilie vyako tu.

Ni uchuro kutegemea Watoto wakutunze. Kwa heri na sitaandika tena kuhusu hili
 
Hili ni jibu sahihi, Binafsi ntaandika ambae ananitegemea zaidi kuendesha maisha yake.

Kama mke uchumi wake uko vzr ntaandika wazazi.

Kama wazazi uchumi wao uko vizuri ntaandika mke.

Bila kusahau watoto[emoji846].
 
Kama walikubaliana kuandika majina yao kama wanafamilia na watoto wao, mime amefanya sawasawa na walivyokubaliana lakini mke amefanya kwa siri na kuandika baba yake mzazi kuna tatizo hapo!

Wakati wa kuoana si wanasema tutaacha baba zetu na mama zetu na kuambatana na wenzi wetu?
Nini kinafanya watu waanze kuzungukana?
 
Wewe wanaandikwaga watoto tu ,wewe unaandika mwanamke?akiolewa?😂😂
 
Angalia kilevi unachotumia kinakudhuru, hapa post yangu nilikuwa nasisitiza watoto we like wana mapenzi ya dhati na baba zao hii nimeiona Mara nyingi na mifano IPO.

Watoto we kiume wanajipendekeza ukweni na kwa upande wao wanaelemea mapenzi kwa mama.

Haya mambo ya Magufuli hapa siyo mahali pake, mtu yeyote anayemtetea Magufuli basi ujuwe ni mchawi.
 
Duh hii noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…