Duh haya Maisha tunatofautiana sana, off course nimekuja kugundua wanawake wa kuoa Ni wanyakyusa , Ni watiifu sana kwa waume zao na wanapenda sana kutengeneza familia , no matter Ana pesa kiasi gani, Nina mifano miwili niliyoshuhudia , wa kwanza Ni kwa mke wangu, yeye hata kadi ya benki hajui iko wapi, na sifahamu Mara ya mwisho kuishika ilikuwa Ni lini, maana Mimi ndo naimiliki, Wala sio kwa ubabe wangu, la hasha ni mahaba na utashi wake.
Mfano wa pili ni mwanamke amabaye Ni office mate wangunaye Ni mnyakyusa, anampenda sana jamaa yake(mme,)licha ya kwamba mme wake ni mtu wa vidosho, lakini huwezi mwambia amuache, kaenda benki kachukua mkopo na kumnunulia pikipiki ili Bwana mkubwa alilaksi,na hapa Naona kachukua Tena mkopo wanajenga
Sasa Mimi huwa nashanga watu wanaosema kuooa wanawake wafanyakazi Ni changamoto, Mimi has sio kweli, Bali inategemeana na Sina ya mwanammke uliyenaye
Pongezi ziende kwa mabinti wa kinyakyusa!!!!