Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Habaaaaahhhhh ahhhhhh nakumbuka Marehemu Bibi alikuwa anatusimulia hizo storiNakumbuka ile story ya zamani, mtu alijitishwa jungu la uji wa moto akapita nalo msituni alipo, akajitokeza amkonge kichwani akayavaa mauji ya moto akafa.
Paka usiweze kumuua huo ni uongo, sema binadamu tuna ubinadamu tu na uwoga sana ila ukizamilia paka sio wakusema hawezi kuuliwa na binadamu mwenye kilo 60Kg na paka kilo sijui 6Kg.paka achana nae kabisa mkuu hapo mwenyewe mkifungiwa chumba kimoja huwezi hata kumuua amini maneno yangu
Paka unamuuwa vizuri tu kulingana na mazingira ulipo wala haikupi shida. ila kama mazingira ya finye yaani haipo sehemu nyingine ya kukimbilia yeye atakujeruhi sana maana huwa anaruka ovyo sana na akikutana na adui makucha yake sio poaPaka usiweze kumuua huo ni uongo, sema binadamu tuna ubinadamu tu na uwoga sana ila ukizamilia paka sio wakusema hawezi kuuliwa na binadamu mwenye kilo 60Kg na paka kilo sijui 6K...
Achana na ngedere,kitu nyani.
tunatafta kuwekeza na sivingine mkuu kama ataweza hama kwa hairi yake bila shurti wala sina mpango nae aende salama mapori ni mengi sanaSasa nyoka yupo porini kwenye makazi yake mnataka mkamchonoe, Kuna mnachokitafuta.
ile chai by the way inakupa confindance flaniHabaaaaahhhhh ahhhhhh nakumbuka Marehemu Bibi alikuwa anatusimulia hizo stori
Sijuie ilikuwa kamba tuone ushujaa waoπ€£π€£
Yes atakujeruhi hata mara 1000 lakini hana siraha ya kukua wewe though kuna wajinga wasio tumia common sense wanaamini eti paka anaweza kumuua mbwa that idiot thinking.Paka unamuuwa vizuri tu kulingana na mazingira ulipo wala haikupi shida. ila kama mazingira ya finye yaani haipo sehemu nyingine ya kukimbilia yeye atakujeruhi sana maana huwa anaruka ovyo sana na akikutana na adui makucha yake sio poa
Paka ni mnyama hatari kabisa, paka yupo kasi kuliko black mamba, paka ana uwezo wa kuua king cobra, usimchukulie poa, ingia hata youtube uone paka anavyorarua kwa kucha nyoka hadi anamuua.Sidhani kama paka ana uwezo huo kwa black mamba, labda kawe katoto.
Shamba la ekari nane ni rahisi kuhamisha nyoka.8 mkuu tulipima wakati wa sensa
Hata harufu ya mafuta ya mdalasini au ammonia inawakera sana nyoka, watakimbia lazima.Chomeni mipira ya tairi za magari chomeni mfululizo siku 7 hawatakaa tena huo msitu watahama kabisa..
Tena mkidondosha na oil chafu ndio kabisa
Tahadhari ukiwasha moto wa tairi muondoke kabisa eneo hilo maana mmeanzisha vita vya 3 vya dunia na hao nyoka..
paka unaweza ukamuua ma yeye piah anaweza akakuua vizur tu lkn piah paka ni rahis kumuua nyoka koboko sababu n paka anauwezo wa kuona mkubwa sna...nyoka akijaribu kushambulia kwa kasi paka anamuona kama unavoona slow motion ya vidio ndo maana anamzaba makofi na makucha mpaka anadedππ€£π πππPaka unamuuwa vizuri tu kulingana na mazingira ulipo wala haikupi shida. ila kama mazingira ya finye yaani haipo sehemu nyingine ya kukimbilia yeye atakujeruhi sana maana huwa anaruka ovyo sana na akikutana na adui makucha yake sio poa
DuuhUpo musoma nini maana ndo wapo hatari mno ngoja tupate mbinu kaua ngombe saba kwa sekunde tu.
Nafikiri baadhi ya story za Koboko hapa JF zimekuchukua kweli kweli kiasi ambacho kimekufanya uamini kila unachoambiwa kuhusu Koboko bila kufanya utafiti ili ujue mtemi wake ni nani.
hapana mkuu japo yeye alikuwa kajikunja yaani kaenda urefu kama futi4 hivi halafu akajirudia kujikunja na sikumtazama sana hata picha kusema nimpige kwa mbali nilishindwa maana daah katuchora muda wote tunapiga pichaKiss of Death...
Huyo Koboko anafika ukubwa huu?View attachment 2945555
Hii nikweli wala sikataiPaka ni mnyama hatari kabisa, paka yupo kasi kuliko black mamba, paka ana uwezo wa kuua king cobra, usimchukulie poa, ingia hata youtube uone paka anavyorarua kwa kucha nyoka hadi anamuua.
Black mamba au king cobra hawafui dafu kwa paka.
King Cobra chakula chake rasmi ni nyoka wenzake.
Na nyoka wote wenye sumu kali wanaliwa vizuri tu na Cobra.
Tatizo ni kwamba Koboko huwa wanarefuka sana kumzidi king Cobra.
Akiwa mrefu na mnene kuliko na Cobra kesi inakuwa ngumu kwake.
Wapo labda wawe wanatofautiana lakini kama ndo hawa weusi wanaurusha mate na kuwa bapa kichwani wapo maeneo mengiMkuu,
Huyo King Cobra unayeshauri apelekwe kwa ajili ya kula hao Black Mamba, mtoa mada anampata watu?.
Unajua kwamba King Cobra sio native snake in Africa?, wako bara Asia huko. Jisomee vizuri tena.
Umewahi shuhudia paka kaaua mtu Kiongozi?paka unaweza ukamuua ma yeye piah anaweza akakuua vizur tu lkn piah paka ni rahis kumuua nyoka koboko sababu n paka anauwezo wa kuona mkubwa sna...nyoka akijaribu kushambulia kwa kasi paka anamuona kama unavoona slow motion ya vidio ndo maana anamzaba makofi na makucha mpaka anadedππ€£π πππ