Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
-
- #121
Mkuu nilijua kuya mwaga mwaga ovyo tu mle poli? sasa ikitokea kwenye pango unalo mwaga ndo makazi yake hii nitaepukaje?Shamba la ekari nane ni rahisi kuhamisha nyoka.
Tafuta oil chafu lita 20, igawanye kwenye lita tatu tatu kisha nenda ukamwage kwenye milango ya mapango ya mawe na miti kama ip
Sawa, lakini king Cobra wengi wanaopatikana kwenye ukanda wetu wana maumbile madogo kulinganisha na Koboko.Mkuu,
Wataalam wa hawa reptiles wanasema King Cobra ndo the longest venomous snake in the world. Wapo wanaofika hadi futi 18 au zaidi.
Kuwa mwangalifu wakati unaenda shambamkuu nilijua kuya mwaga mwaga ovyo tu mle poli? sasa ikitokea kwenye pango unalo mwaga ndo makazi yake hii nitaepukaje?
Mkuu,Wapo labda wawe wanatofautiana lakini kama ndo hawa weusi wanaurusha mate na kuwa bapa kichwani wapo maeneo mengi
Hao sio King Cobra. Zingatia hilo neno KING mkuu.Sawa, lakini king Cobra wengi wanaopatikana kwenye ukanda wetu wana maumbile madogo kulinganisha na Koboko.
... they attack unprovoked!Hawa nyoka siyo wachokozi hata kidogo. Achana na story za watu eti wanakimbiza watu. Ndiyo, wana sumu kali ila siyo aggressive.
Nafikiri baadhi ya story za Koboko hapa JF zimekuchukua kweli kweli kiasi ambacho kimekufanya uamini kila unachoambiwa kuhusu Koboko bila kufanya utafiti ili ujue mtemi wake ni nani.
Siyo utani, jionee:Tafuta wazee wa Kikwere au Kizigua hao ni kiboko ya Koboko.
Sikatai paka ana uwezo mkubwa, lakini kwenye zile documentary za black mamba, moja ya ishara mbaya kuwa amevamia makazi ni pamoja na kukuta paka amekufa au kapotea kabisa hajulikani alipo.paka achana nae kabisa mkuu hapo mwenyewe mkifungiwa chumba kimoja huwezi hata kumuua amini maneno yangu
Mkuu kwa paka sina uhakika, fuatilia kile kipindi cha snake city.Paka ni mnyama hatari kabisa, paka yupo kasi kuliko black mamba, paka ana uwezo wa kuua king cobra, usimchukulie poa, ingia hata youtube uone paka anavyorarua kwa kucha nyoka hadi anamuua.
Black mamba au king cobra hawafui dafu kwa paka.
King Cobra hayupo Africa mkuu, yapo India. Africa kuna aina nyingne kabisa za cobra kama mozambique na spitting cobra.Naona unataka kuleta ubishi usiokuwa na maana. Lakini pia haujajua ni kwanini huyu alipewa jina la King Cobra.
hahahaaaaaBlack mamba 'koboko' mnamtukuza sana ila kiuhalisia ni nyoka wa kawaida na ni chakula maalumu cha mfalme wa majoka King Cobra.
Ukimpata King Cobra na kumtupia humo msituni kwako, ni kitendo cha dakika 30 tu utaona Koboko wako anavyotupiwa mdomoni kama vile mtu anavyotupia tambi za futari mdomoni.
Sasa black mamba na king cobra wamekutana lini porini wakati ni nyoka wanaopatikana mabara mawili tofauti.Koboko mnamtukuza sana ila kiuhalisia ni nyoka wa kawaida na ni chakula maalumu cha mfalme wa majoka King Cobra.
Ukimpata King Cobra na kumtupia humo msituni kwako, ni kitendo cha dakika 30 tu utaona Koboko wako anavyotupiwa mdomoni kama vile mtu anavyotupia tambi na uji wa ramadhani
hahahahaaaaaHuyo nyoka ni hatari sana mkuu, ana upeo mkubwa, kuwa makini usikute ashaona hata huu uzi
Hapo anakusubiri urudi msituni, umueleze comments zilikuwaje?
Mi naona afuge kicheche ndo kiboko ya nyoka akiwemo na huyo black mamba. Atatafunwa bila shida na kupotea uso wa dunia.Black mamba 'koboko' mnamtukuza sana ila kiuhalisia ni nyoka wa kawaida na ni chakula maalumu cha mfalme wa majoka King Cobra.
Ukimpata King Cobra na kumtupia humo msituni kwako, ni kitendo cha dakika 30 tu utaona Koboko wako anavyotupiwa mdomoni kama vile mtu anavyotupia tambi za futari mdomoni.
Nyani kwani anakula hao nyoka?Achana na ngedere,kitu nyani.