Kwenye ndoa mkikosa mtoto, utasumbuana na mke wako miaka yote?

rich1

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
3,020
Reaction score
3,309
Eti ni kweli kwenye ndoa mkikosa mtoto, mwanamke utasumbuana nae mpaka siku ya mwisho?
 
Eti n kweli kwenye ndoa mkikosa mtoto, mwanamke utasumbuana nae mpaka siku ya mwisho??

Ni kweli
Hata mwanaume anasumbua mpaka siku ya mwisho

Source: Bongo movie
 
Serengeti lager [emoji481] ina 4.8 na wimbo wa mama amina unaimbwa hapa ukimaliza nitakujibu


Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Michango ya WADAU ndio iliyonileta hapa
 
Eti ni kweli kwenye ndoa mkikosa mtoto, mwanamke utasumbuana nae mpaka siku ya mwisho?
Hakuna kitu kizuri au kibaya kama malengo.
Kwani mnapooana nini hasa lengo la ndoa yenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…