Mioyo ipo tofauti mama angu, hilo kwako n la kawaida na unaendelea na maisha, lkn mwngn hy hali inaweza kumfanya kujiua.Mbona nimeambukizwa ukimwi na mume wangu na nimesamehe...tuko happy tunachukuliana ARV?
Nadhani huelewi tofauti ya mambo. Wakristo hawafungwi na torati. Ndio maana huwezi mkuta mkristo anampiga mawe mchawi japo torati inaamuru hivyo.
Kwamba mafundisho ya Agano Jipya hayana sheria? kidding me?
Yesu aliposema mpende jirani yako kama nafsi yako yalikuwa ni maoni? Au alipowaambia wanafunzi Amri mpya nawapa, pendaneni yalikuwa ni maoni?
Aliposema enendeni ulimwenguni mkaihubiri injili nayo yalikuwa maoni?
Someone is confused here!
Acha kudanganya watu. Na haya ni maoni ama? Au na Biblia nayo haielewi dini?
"Lakini wale waliokwisha kuoana nawaagiza; wala hapo si mimi, ila Bwana; mke asiachane na mumewe; lakini, ikiwa ameachana naye, na akae asiolewe, au apatane na mumewe; tena mume asimwache mkewe." - 1 Wakorintho 7:10-11
Haya pingana na Yesu hapo...
"Amri mpya nawapa, Mpendane. Kama vile nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo. Hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi" - Yohana 13:34-35
Nielewe ikiwa Jambo hilo limejakuwa addressed upya by Jesus Christ unatakiwa usimame kwenye maelezo ya Yesu!Mbona zaka na fungu la kumi ni agano la kale ila makanisa ya zama hizi yanasisitiza waumini watoe.. hawasemi waache maana ni agano la kale
Kwa ujinga gani nijiue?Mioyo ipo tofauti mama angu, hilo kwako n la kawaida na unaendelea na maisha, lkn mwngn hy hali inaweza kumfanya kujiua.
alirekebisha ??? Yesu alikuja kurekebisha sheria za kale ??Nielewe ikiwa Jambo hilo limejakuwa addressed upya by Jesus Christ unatakiwa usimame kwenye maelezo ya Yesu!
Chukulia mfano Musa aliruhusu talaka ila Yesu alirekebisha.
Twende kwenye hoja yako: zaka na 10% , Je kuna popote ambapo Jesus ametoa corrective statement? If yes fuata alichoelekeza Yesu
Kuna uzi ni series. Ukifika mwisho utajibu maswali haya yote na utaelewa tofauti inaanzia wapi. Ila wao ndio walioandika Biblia!Yaah hao wayahudi ndio ila kwan hao ndo wameandika biblia Maana wayahud wanamngoja masiha wanasema yesu sie japo wanakubali alikuwa muhubiri mzuri...MI NAJIFUNZA NIELEWESHE
Ndio, Yesu alitutoa kwenye sheria, mafundisho yake hayakuwa ya kisheria bali ya kiroho.alirekebisha ??? Yesu alikuja kurekebisha sheria za kale ??
Huwa hekima ya kichungaji inasema kama Yesu Kristo anatusamehe makosa na dhambi zote kwanini wewe usimsamehe mwenza wako? Huu hasa ndio msingi wa kanisa kusema ndoa ya kikristo haivunjiki.Ndoa ya Kikristo haina talaka kwa sababu yoyote ile. Kinachoruhusiwa ni kutengana na kutoishi pamoja. Ila bado ndoa ipo palepale!
Kuweka kumbukumbu sawa hapa.
Kwa mujibu wa imani ya kikristo ndoa haivunjiki mpaka kifo. Kwa sababu ya uasherati wanandoa wanaweza kuachana lakini ndoa yao itabakia pale pale (kwa maana kuwa hawaruhusiwi kuoa au kuolewa tena)
Umejibu jumla jumla kwa sababu unajua kuna mambo umedanganyaHapo hakuna amri mpya Sheikhe!
Acha ubishi usio na maana.
We endelea kutumia akili kubwa ama ndogo. Ila maandiko niliyoweka sio maoni. Labda kama neno maoni limebadilika maana. Ila kama unataka kung'ang'ania maoni maoni... sawa. Endeleea!Kwenye injili hakuna sheria mpya hata Moja.
Unaposoma Biblia jaribu kuelewa kuwa Sheria zipo Kwa Musa, huko kwingine ni maoni na mafundisho ya manabii na mitume.
Haihitaji akili kubwa kutambua Hilo.
Aliyesema amri mpya nawapa ni mimi au Yesu? Bishana na aliyesema, sio mimi!Hiyo amri ya Upendo IPO kwenye Torati,
Kumbukumbu la Torati 6:5-7
Nawe mpende BWANA, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote. Na maneno haya ninayokuamuru leo, yatakuwa katika moyo wako; nawe uwafundishe watoto wako kwa bidii, na kuyasema uishipo katika nyumba yako, na utembeapo njiani, na ulalapo, na uondokapo.
Mambo ya Walawi 19:18
Usifanye kisasi, wala kuwa na kinyongo juu ya wana wa watu wako; bali umpende jirani yako kama nafsi yako; Mimi ndimi BWANA.
Acha mbwembwe. Rudi kwenye amri alizozitoa Paulo. Tena anasema wazi sio amri zake ni za Bwana. Nimekuwekea kabisa ila unakaza shingo tu bila sababu.Huyo Paulo mambo mengi aliyokuwa anayaeleza ni maoni yake binafsi Kwa Wamataifa.
Ukisoma Biblia jaribu kuelewa anayeandika yupo katika Mazingira gani, na alikuwa anawaandikia kina nani.
Wewe unajua kuliko Yesu, unajua kuliko Paulo. Unajua kuliko Mungu. Kwa mantiki yako unadhani ni mjinga kiasi gani?Usipojua hayo utajikuta badala ya kupata maarifa unakuwa mjinga zaidi.
Sidhani kama nahitaji kueleweshwa na mtu anyebishana na Biblia. Kama Yesu anasema amri mpya wewe unasema ya zamani, unadhani nahitaji kueleweshwa na wewe?Alafu kuna mambo bado huyaelewi kuhusu sheria hizo za kupiga mawe, ungeomba ueleweshwe.
Kwa hiyo yule mwanamke waliyemleta kwa Yesu aliyekutwa amezini walitaka kumpigia magitaa au vinanda?Wayahudi Mwanzoni kabla ya kuwepo wafalme walikuwa wanaongozwa na Mungu mwenyewe, baadaye wakakataa kuongozwa na Mungu hivyo wakataka kuongozwa na wafalme wa kibinadamu Kama mataifa mengine.
Ndipo wakatokea Waamuzi kabla ya ujio WA Wafalme.
Mpaka hapo bado hujaelewa Kwa nini watu hawapigwi mawe?
Sheria zote msingi wake ni Mungu. Kamwulize hakimu kwa nini ni kosa linalostahili kifo kuua mtu?Jibu ni Kwa sababu dunia haifuati sheria za Mungu Kwa 100% isipokuwa zinafuata upagani na ushetani.
Sheria za Mungu ni zile zile kweli, ila hakuwapa wanadamu zote kwa pamoja. Na zina application tofauti kwa context tofauti.Bado hujanielewa?
Sheria za Mungu ni zilezile hazibadiliki
Asipoelewa nitag nimfumue kichwaNdoa ya Kikristo inatalaka kulingana na sheria.
Tofautisha maoni na sheria.
Dini zinaongozwa Kwa sheria na sio Maoni.
Sheria zipo kwenye Torati tuu huko kwengine ni mafundisho na maoni ya mitume na manabii.
Mfano Mtume Paulo Kwa sehemu kubwa alikuwa anatoa maoni yake zaidi ambayo watu wengi hasa Wakristo wasioelewa Dini wanafikiri maoni yake ndio SHERIA.
Hata Yesu katika Injili hakuleta Sheria yoyote mpya isipokuwa alikuwa anatimiliza sheria.
Kwenye Dini sheria zipo za Talaka.
Reference hii umeitoa kwenye kitabu gani?Ndoa ya Kikristo haina talaka kwa sababu yoyote ile. Kinachoruhusiwa ni kutengana na kutoishi pamoja. Ila bado ndoa ipo palepale!
Hapa umechanganya ngano na magugu.Ndoa ya Kikristo inatalaka kulingana na sheria.
Tofautisha maoni na sheria.
Dini zinaongozwa Kwa sheria na sio Maoni.
Sheria zipo kwenye Torati tuu huko kwengine ni mafundisho na maoni ya mitume na manabii.
Mfano Mtume Paulo Kwa sehemu kubwa alikuwa anatoa maoni yake zaidi ambayo watu wengi hasa Wakristo wasioelewa Dini wanafikiri maoni yake ndio SHERIA.
Hata Yesu katika Injili hakuleta Sheria yoyote mpya isipokuwa alikuwa anatimiliza sheria.
Kwenye Dini sheria zipo za Talaka.
Nadhani huelewi tofauti ya mambo. Wakristo hawafungwi na torati. Ndio maana huwezi mkuta mkristo anampiga mawe mchawi japo torati inaamuru hivyo.
Kwamba mafundisho ya Agano Jipya hayana sheria? kidding me?
Yesu aliposema mpende jirani yako kama nafsi yako yalikuwa ni maoni? Au alipowaambia wanafunzi Amri mpya nawapa, pendaneni yalikuwa ni maoni?
Aliposema enendeni ulimwenguni mkaihubiri injili nayo yalikuwa maoni?
Someone is confused here!
Acha kudanganya watu. Na haya ni maoni ama? Au na Biblia nayo haielewi dini?
"Lakini wale waliokwisha kuoana nawaagiza; wala hapo si mimi, ila Bwana; mke asiachane na mumewe; lakini, ikiwa ameachana naye, na akae asiolewe, au apatane na mumewe; tena mume asimwache mkewe." - 1 Wakorintho 7:10-11
Haya pingana na Yesu hapo...
"Amri mpya nawapa, Mpendane. Kama vile nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo. Hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi" - Yohana 13:34-35
Hapa umechanganya ngano na magugu.
Hii pia ni sababu nzuri ila siyo ultimate reason. Sababu kuu ambayo wote hapa mtatakiwa kuijibu ni hii:Huwa hekima ya kichungaji inasema kama Yesu Kristo anatusamehe makosa na dhambi zote kwanini wewe usimsamehe mwenza wako? Huu hasa ndio msingi wa kanisa kusema ndoa ya kikristo haivunjiki.
Kwanza andiko ulilonukuu halisemi Uzinzi, bali uasherati. Uasherati ni kwa watu ambao hawajafunga ndoa. Na kwasababu kwa desturi za Wayahudi mwanamke akiposwa huyo ni mke wa aliyemposa, hata kabla ya ndoa, hili la kuachana kwa uasherati lina apply. Ndio maana Yusufu alitaka kumwacha Mariamu alipogundua ni mjamzito akijua amefanya uasherati. Malaika alimwita Mariamu mke wa Yusufu japo walikuwa hawajaoana bado.Lakini maneno ya Bwana Yesu Kristo yapo clear, endapo mwenzi amevunja agano la ndoa kwa uzinzi (hapa niongezee kidogo; na ameendelea hivyo na hakusudii kubadilika) basi hapo unaruhusiwa kumuacha na ndoa inaisha.
Mathayo 5:32 SRUV
lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa sababu ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.
Zaka ipo agano jipya ila sasa hivi hauitoi kama sheria bali unaitoa katika imani kwamba Bwana Yesu Kristo anaipokea.. soma waebrania sura ya saba yote.Mbona zaka na fungu la kumi ni agano la kale ila makanisa ya zama hizi yanasisitiza waumini watoe.. hawasemi waache maana ni agano la kale
Nadhani huelewi tofauti ya mambo. Wakristo hawafungwi na torati. Ndio maana huwezi mkuta mkristo anampiga mawe mchawi japo torati inaamuru hivyo.
Kwamba mafundisho ya Agano Jipya hayana sheria? kidding me?
Yesu aliposema mpende jirani yako kama nafsi yako yalikuwa ni maoni? Au alipowaambia wanafunzi Amri mpya nawapa, pendaneni yalikuwa ni maoni?
Aliposema enendeni ulimwenguni mkaihubiri injili nayo yalikuwa maoni?
Someone is confused here!
Acha kudanganya watu. Na haya ni maoni ama? Au na Biblia nayo haielewi dini?
"Lakini wale waliokwisha kuoana nawaagiza; wala hapo si mimi, ila Bwana; mke asiachane na mumewe; lakini, ikiwa ameachana naye, na akae asiolewe, au apatane na mumewe; tena mume asimwache mkewe." - 1 Wakorintho 7:10-11
Haya pingana na Yesu hapo...
"Amri mpya nawapa, Mpendane. Kama vile nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo. Hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi" - Yohana 13:34-35
Naona we niachane na comments zako hapa! Mtu anasema nawaagiza, na tena anasema sio mimi ni Bwana, bado unaokomaa tu. Basi endelea kukomaa hivyo hivyo!Huyo Paulo kwenye Wakorintho Hana mamlaka ya kumuagiza yeyote kuhusu mambo yanayohusu Amri za Mungu.
Anasema watu wasiachane Kwa maoni yake na wala sio Kulingana na sheria za Mungu, kama zilivyoshuka Kwa Mkono wa Musa,
1 Wakorintho 7:10-11, Mathayo 19 kwa uchache!Reference hii umeitoa kwenye kitabu gani?