Kwenye Ndoa zenu kuna watoto wetu. Siku wengine tukicharuka tutakuja kuwadai

Haki yako ile kihalali jitahidi sana wakutambue kama baba ili usijekupoteza hata zaidi ya sasa
Tafuta njia nzuri

Nataka niwaaambie mama zao wawalete kwangu. Lakini nataka kwanza nitulie na mwanamke mmoja aje awalee.
 
Haki yako ile kihalali jitahidi sana wakutambue kama baba ili usijekupoteza hata zaidi ya sasa
Tafuta njia nzuri
Mkuu, acha kumtafutia matatizo kwa nguvuuuuuuuu.

Mambo ya MAPENZI na NDOA huleta maafan(mauajii) chukulia mfano kidume hajui hata bei ya pampasi..

KULEA MTOTO SIO RAHISI MIMI NIPO NA FAMILIA CHANGA NA TUMEBEBANISHA WATOTO MMOJA BINTI COPY LITE ANA MWAKA NA MIEZI MITATU NA MWINGINE WAKIUME ANA MIEZII KADHAA SASA NAJUA PILIKA PILIKA ZA UZAZI..

KWAIO JAMAA AACHE KILA KITU KIWE KAMA KILIVYO ASIJE UWAWA
 
Usiogope mengi tutayajadili Private mshkaji wetu huyu tunatakiwa tumsaidie
 
Tumia condom bwege wewe la sivyo tutakusahau sasa hivi. Unaringia ngono zembe mpaka unaandika ujinga humu
 

Ntauawa kwa haki yangu? Hiyo ni haki yangu. Kama mtoto si wangu sawa. Kulea si shida. Sijasema sina uwezo. Unadhani wao hawawezi uawa pia? Kwanini mnaamini anayedai haki ndo anaweza uawa na je mdaiwa? Huo ni ujinga. Hao watoto nlifanyiwa trick wakapatikana mimba ambayo sikupanga. Sasa nawahitaji.
 
Mtoto wa kiume anajivunia kuwa "mweupe"! 😊

Tumezowea wanawake ndo wanatambiana kwa weupe na makalio yao kwenye mikutano yao.

Inaleta ukakasi!
 
Usiogope mengi tutayajadili Private mshkaji wetu huyu tunatakiwa tumsaidie
Hapana yeye a foregone everything..

Kibatala hupenda kusema TUACHE KAMA ILIVYO.

Yaani nigundue nimebambikiwa mtoto na kidume ananivimbia nimesomesha nime lea kwa jasho na damu.

Yaan ni Bora kukutowesha kuliko kuendelea kuona Hilo tukio..ntamwingiza kwenye pipa la maji moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…