Kwenye Ndoa zenu kuna watoto wetu. Siku wengine tukicharuka tutakuja kuwadai

Ngoja wanawake weusi waishe, nyie wanaume weupe mtatueleza vizuri wanaume weusi.
We jipakulie minyama tu.
 
Mzee wewe umepanda mbegu kwenye SHAMBA LINALO MILIKIWA KISHERIA/ SHAMBA LA MTU MWINGINE.. UNADHANI HUO MOTO WA PETROL/ YAANI NI SAWA NA KUVUTA SIGARA PETROL STATION..

NENDA KADAI MTOTO KWENYE NDOA YA MTU/ UNAFIKIRI NINI KITATOKEA?? EITHER MUME ULIE MZALISHIA MKEWE AWE STRONG THAN ENOUGH KU LET IT GO VICE VERSA MTAGAWANA MAJENGO YA SERIKALI.

BE WISE.
 
Amani uliyo nayo sasa hivi ..naomba uitunze sana .. kaa kwa kutulia .. ukitaka kufanya hiyo movement unayotaka kuifanya .. you will end in tears. bro.
 
Mtoto wa kiume anajivunia kuwa "mweupe"! 😊

Tumezowea wanawake ndo wanatambiana kwa weupe na makalio yao kwenye mikutano yao.

Inaleta ukakasi!

Acha ubwege dogo. Najivunia kila kilicho changu. Ndiyo mimi ni mweupe na ninazalisha. Kama unabisha njoo hata ukiwa tasa.
 

Hayo maneno tu ya vitisho. Mtatoweshana. Mtoto nimekubambikia mimi au mkeo? Acheni kujitishia nyau
 

Haki ya mtu haipotei hivyo vitisho havifanyi kazi kwangu
 
Umepima?
 
Mwanaume unaanzaje kuwa mweupe?
 
Andika juiu pale kabisaaaa "TANGAZO TANGAZO TANGAZO

Mimi ni marioo na sperm donor official"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…