Kwenye Ndoa zenu kuna watoto wetu. Siku wengine tukicharuka tutakuja kuwadai

Mkuu hongera sana kwa kuwa mwanaume mrembo hadi wanawake wanakukimbilia. Wanaume warembo ni wachache. Ila ukanda wa pwani wanaume wengi ni walimbwende kwa kujipodoa
 
Ili kuepusha rabsha subiria baba zao walezi wavute kamba ndio uende kudai watoto wako bila hivyo utakutanishwa na Sir Godi muumba kabla ya siku zako. Usijaribu kusogeza sharubu zako kwa watu wanaoumia kulipia ada mabao yako huku wewe ukila bata na kujiona shujaa.
 
Si utaoa siku moja? basi yatakutokea hayohayo
 
Tatizo kama langu mkuu
Tatizo kama langu mkuu,ila ww umezidi😅😅
 
 
Hao watoto sio wako,ungepunguza bangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…