Naomba kuuliza mimi pia ninayo tvs sasa shida ilikua usiku wakati wa kuendesha ukifika kwenye mtelemko taa haiwaki mpka uvute moto. Sasa nikaenda kwa fundi akabadili mfumo wa taa ili utumie moja kwa moja kwenye betry. Changamoto iliyopo sasa pikipiki wakati wa usiku ukiwa unaendesha inakua inazima.