Kwenye sakata la Mchungaji Kimaro, nasimama na Kiongozi wangu Askofu Malasusa

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Mimi ni msharika wa Kijitonyama mstaafu. Nihama pale baada ya mambo kuwa mengi. Ila bahasha yangu bado ipo.

Kabla ya kuja Kimaro we had a peaceful church. Misingi ya kanisa ilizingatiwa.

Tulifanikiwa pia kujenga ghorofa tisa la kitegauchumi na nyumba ya jirani alitekua anasumbua sana.

The church was peaceful

Huyu bwana akaja na mambo yake. Binafsi sikupendezwa maana mambo mengi yalivurugwa. Hakuwa anazingatia tamaduni za kanisa.

Nikahama.

Malasusa ametokea katika familia ya mchungaji, anajua tamaduni za kanisa.

Kila kanisa lina tamaduni zake inazotambulisha. Kuziacha ni kuua kanisa. Tamaduni za kanisa lazima ziwe protected at any cost.

Kiongozi wangu, Dr. Malasusa, personally uliwahi kunikosea na nikakukasirikia ila nimekusamehe, katika hili la kutunza tamaduni za kanisa niko na wewe.

Ndimi.

Msharika mstaafu wa kijito.

Amen.

Kuhusu Sakata hilo, soma: Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu
 
Dah! Kama Kanisa la Anglikana, kuna maeneo unaweza ukadhani ni Kanisa la Kilokole! Yaani ni full sebene. Wanaita sijui low church! Tofauti kabisa na Kanisa la Anglikana la Tanga.

Hakika misingi ya Kanisa lazima izingatiwe. Mambo ya kuligeuza Kanisa kama mali yako, unaendesha ibada zilizo kinyume na tamaduni za Kanisa; si sawa hata kidogo.
 
Lazima.
 
Hili suala Lina jazwa speculations zisizo na lazima. Ni nani ana ushahidi wa Nini haswa kilifanya Mchungaji kupewa likizo ya lazima?

Tukumbuke yeye ni Muajiriwa na Muajiri ana Haki ya kuchukua hatua mbalimbali kwa Muajiriwa wake kwa sababu mbalimbali. Huyo hiyo Muajiri aliyemleta Kimaro kijitonyama, kaona kuna haja ya kuchukua hatua alizoona Iko haja ya kuchukua. Kimaro hakuletwa Kijitonyama na Washarika. Na zaidi hajafikuzwa kazi.

Kama Kuna figisu basi wa kutueleza ukweli ni Mchungaji ama Muajiri wake.

Kanisa lipo na litaendelea kuwepo maana msingi wake ni Kristo mwenyewe. Dkt Kimaro kafanya kazi nzuri sana Kijitonya kwa kadir ya alivyojaliwa, tuchukulie tu ndio wakati wake umeisha na anatakiwa akatoe mchango kwingine.

Hata yeye amehamisha watumishi wengi pia hapo Kijitonya. Iweje yeye akihamishwa iwe nongwa.

Kama Kuna ushahidi wa kuonewa na uwekwe ujadiliwe. Kinyume na hapo ni uzushi.
 
KKKT ni Kanisa la Kiinjili, wale wahuni walioandamana hawajui tamaduni ya hili kanisa, kama Kimaro ana uinjilisti mkubwa na wenye wito, basi uinjilisti wake hautakiwi kuishia Kijitinyama, lazima uende mahali pengine, yeye sio wa kwanza kuhamishwa na wala hatakuwa wa mwisho, KKKT litakuwepo na litaendelea kuwepo bila hata Kimaro.
 
Mimi ni msharika wa Kijitonyama mstaafu.

Nihama pale baada ya mambo kuwa mengi. Ila bahasha yangu bado ipo.

Kabla ya kuja Kimaro we had a peaceful church.

Misingi ya kanisa ilizingatiwa.

Tulifanikiwa pia kujenga ghorofa tisa la kitegauchumi na nyumba ya jirani alitekua anasumbua sana.

The church was peaceful

Huyu bwana akaja na mambo yake. Binafsi sikupendezwa maana mambo mengi yalivurugwa. Hakuwa anazingatia tamaduni za kanisa.

Nikahama.

Malasusa ametokea katika familia ya mchungaji, anajua tamaduni za kanisa.

Kila kanisa lina tamaduni zake inazotambulisha. Kuziacha ni kuua kanisa.

Tamaduni za kanisa lazima ziwe protected at any cost.

Kiongozi wangu, Dr. Malasusa, personally uliwahi kunikosea na nikakukasirikia ila nimekusamehe, katika hili la kutunza tamaduni za kanisa niko na wewe.

Ndimi.

Msharika mstaafu wa kijito.

Amen.
Hivi Mungu na manabii wake wana tamaduni?
 
KKKT ni Kanisa la Kiinjili, wale wahuni walioandamana hawajui tamaduni ya hili kanisa, kama Kimaro ana uinjilisti mkubwa na wenye wito, basi uinjilisti wake hautakiwi kuishia Kijitinyama, lazima uende mahali pengine, yeye sio wa kwanza kuhamishwa na wala hatakuwa wa mwisho, KKKT litakuwepo na litaendelea kuwepo bila hata Kimaro.
Tena ni wahuni kweli!!!!
 
Nimeangalia sura za walioabdamana.

Siwafahamu.
 
Dah! Kama Kanisa la Anglikana, kuna maeneo unaweza ukadhani ni Kanisa la Kilokole! Yaani ni full sebene. Wanaita sijui low church! Tofauti kabisa na Kanisa la Anglikana la Tanga.

Hakika misingi ya Kanisa lazima izingatiwe. Mambo ya kuligeuza Kanisa kama mali yako, unaendesha ibada zilizo kinyume na tamaduni za Kanisa; si sawa hata kidogo.
Pale anglikana Tanga unaweza pita jumapili ukaona magari tu nje halafu usisikie hata kelele huko ndani[emoji1]

Kanisa lile kubwa likiisha litakuwa zuri
 
Mambo ya uhamisho huji kusikia yameleta mtafaruku Roman catholic. Uhamisho wa Askofu anatoa Papa moja kwa moja.
Ila huo mchakato wa papa ni mrefu

Jimbo la Tanga miaka 2 sasa halina askofu wa jimbi tangu afariki mhashamu askofu banzi
 
Mimi ni msharika wa Kijitonyama mstaafu.

Nihama pale baada ya mambo kuwa mengi. Ila bahasha yangu bado ipo.

Kabla ya kuja Kimaro we had a peaceful church.

Misingi ya kanisa ilizingatiwa.

Tulifanikiwa pia kujenga ghorofa tisa la kitegauchumi na nyumba ya jirani alitekua anasumbua sana.

The church was peaceful

Huyu bwana akaja na mambo yake. Binafsi sikupendezwa maana mambo mengi yalivurugwa. Hakuwa anazingatia tamaduni za kanisa.

Nikahama.

Malasusa ametokea katika familia ya mchungaji, anajua tamaduni za kanisa.

Kila kanisa lina tamaduni zake inazotambulisha. Kuziacha ni kuua kanisa.

Tamaduni za kanisa lazima ziwe protected at any cost.

Kiongozi wangu, Dr. Malasusa, personally uliwahi kunikosea na nikakukasirikia ila nimekusamehe, katika hili la kutunza tamaduni za kanisa niko na wewe.

Ndimi.

Msharika mstaafu wa kijito.

Amen.
Afadhali uliondoka hukuathiri lolote na Kanisa lilikua vizuri sana chini ya Dr. Kimaro.
 
Back
Top Bottom