Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Mimi ni msharika wa Kijitonyama mstaafu. Nihama pale baada ya mambo kuwa mengi. Ila bahasha yangu bado ipo.
Kabla ya kuja Kimaro we had a peaceful church. Misingi ya kanisa ilizingatiwa.
Tulifanikiwa pia kujenga ghorofa tisa la kitegauchumi na nyumba ya jirani alitekua anasumbua sana.
The church was peaceful
Huyu bwana akaja na mambo yake. Binafsi sikupendezwa maana mambo mengi yalivurugwa. Hakuwa anazingatia tamaduni za kanisa.
Nikahama.
Malasusa ametokea katika familia ya mchungaji, anajua tamaduni za kanisa.
Kila kanisa lina tamaduni zake inazotambulisha. Kuziacha ni kuua kanisa. Tamaduni za kanisa lazima ziwe protected at any cost.
Kiongozi wangu, Dr. Malasusa, personally uliwahi kunikosea na nikakukasirikia ila nimekusamehe, katika hili la kutunza tamaduni za kanisa niko na wewe.
Ndimi.
Msharika mstaafu wa kijito.
Amen.
Kuhusu Sakata hilo, soma: Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu