Kwenye samaki unapenda kula nini?

Hahahahaaaa hatari sana Mkuu,.. Napata supu ya samaki karibu tufaidi wote.
Asante mkuu..sasa unaweza amini sipendi supu ya samaki!!πŸ˜”πŸ˜”ni maajabu kwa kweli
 
Napendelea mnofu hasa wa Sangara ulio kaangwa,ukila kwa ugali na mboga ya majani kama mchicha au mboga ya maboga...
 
Napendelea mnofu hasa wa Sangara ulio kaangwa,ukila kwa ugali na mboga ya majani kama mchicha au mboga ya maboga...
Inaelekea hupendi usumbufu wa kuchambua miiba sio!!ugali moto,mboga moto na pilipili juu shiiiiiπŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹...njaa ishaanza kuniumaπŸ€ͺπŸ€ͺ

Kumbe akina mr sjosh4 wako wengi loh!!.
 
Sijajua ni nini sababu lakini nikipewa kuchagua nitaangukia kwa samaki wa fresh/kukaanga ulimi wangu unaitafsir ladha ya kibambala si tamu Zaidi ya samaki fresh.
Ulimi wako kiboko ais lo!!
Ila si mbaya hata mimi samaki ambae hajakaangwa simfurahii saaaana kama ambae amekaangwa.
Labda nimtie limao lingi na pilipili nyiiingi hapo sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…