Kwenye samaki unapenda kula nini?

Kwenye samaki unapenda kula nini?

Kwa taarifa nilizonazo ntaleta ushahidi kama sikosei kwenye kitabu cha Genius Food wanasema samaki usimle kichwa mpaka Leo siamini na nilikuwa mjumbe mzuri tu...
Leta ushahidi mkuu niache hii tabia
 
Kumbe unapenda lakini unamachaguzi sio!!sawa mama nitakununulia hao kamba siku moja ule mpaka uchoke

Yaaaaas!nimeelewa uzi unamanisha samaki hawa samaki wa kawaida

Nitafutie na wale kaa,nawapenda kinyama
 
Mie nakula samaki mzima kuanzia kichwa hadi mkia na shurti kuwepo pili-pili kichaa au mbuzi 😋😋😋😋
Ohhhhoooo yeahhhh...😋😋😋😋mate yamenitoka 😅😅
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
mimi nashindwa kuelewa mkuu kwann aseme hivyo

wakati anajua fika leo tumekula samaki tena sangara 😂 😂
🤣🤣🤣🤣🤣😅🤣🤣🤣🤣🤣watu mna mawivu mjue..

Nimekula tembele langu konki mnooo🤣🤣🤣chukuchuku...sasa hivi ndo nakula samaki hapa JF😂😂
 
Yaaaaas!nimeelewa uzi unamanisha samaki hawa samaki wa kawaida

Nitafutie na wale kaa,nawapenda kinyama
Usijali utakula mpka uchoke...tena hao wanavirutubisho sio poa..ndo mana unaakili sema mikeka inakusaliti😎😎😎
 
Back
Top Bottom