Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

Mamuu ni nickname ya Mariamu kma sijakosea
 
Kama yupo humu hakika atauona huu Uzi, na atasoma comment yako πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mimi nilipata dem wa kikuria akawa ananinolea panga, nikifika ananiambia babe nimekuandalia panga kwaajili ya kunipiga, nikikataa kumpiga analia anasema simpendi sina wivu na yeye
Cc: Merisya UMUGHAKA
 
Hata nikijiminya minya mguu kuwa unauma, akitoka nje, anarudi na beseni, naanza kukandwa miguu. Na umri huu nilionao, kuna baadhi ya siku nilikuwa naogeshwa.
Loool! Mweee! wajameni mie kwakweli km ni hivi hapana!!! mambo ya kukandwa kandwa kwenye Mabeseni km kiwete sijui mgonjwa!!!! sitaki na kwakweli mtanisamehe nyie watu wa Tanga!

Mara eti sijui niogeshwe weee!! kwenye beseni! nisuguliweee! na dodoki daaaa!! km mie mgonjwa mara sijui eti anikande miguu bila sababun asee ntakupiga mateke ukome! na hutarudia tena!! sijui harufu ya manukato shabash!!

Naoga maji maji kweli safi na salama!! siyo uniwekee mijimanukato weeee!! muraaa! saa nagapi?? wkt naenda kutafuta mapesaa bana???...kwanza hata ke kunihurumia hurumia spipendagi kabisa!!

Mie ni kazi kazi tuuu!! nikipigana hata km nimepigwaa wewe tusonge mbele tu tujipange upya!! sitaki kabisa kuhurumiwa mimi!...saaana nitakupiga makofi!! km ukijionyesha kwangu ivo!!

ndo tabia yangu tangu nikiwa mtoto!!........ukitaka tuelewane wewe cheka sana, af tujipange kiu pyaaa! tukaanze mapambano au piga kimyaa tu!
 
Alafu wapole balaa sema vihadura hasira vya chini chini



Ni wakimya na sio wapole!

Kuna tofauti ya upole na kuwa mkimya.

Majambazi wengi huwa ni wakimyaaaa!

Hata wachawi Na magaidi huwa ni wakimya mno.

Lakini mioyo yao imejaa hila na ubaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…