Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

Jibu unalo sasa auntie [emoji1787][emoji1787] tukiachwa kama hatujaachwa na tukiacha kama hatujaacha wanapaita tanga sisi tunapaita nyumbani [emoji1787][emoji1787]
Tanga ni Kwa wote. Hata wageni wakiingia Kwa mara ya kwanza, lazima waweke kambi. Ntakuja kununua kiwanja huko, nikaribisheni 😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…