Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

Kumbe shoga angu we mdigo😂😂😂 Ndo mana ukapovuka ule Uzi wa kusifia wamakonde😂
Haya huko Tanga mmesoma Hadi wapi?🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Khaaaa
 
Jibu unalo sasa auntie [emoji1787][emoji1787] tukiachwa kama hatujaachwa na tukiacha kama hatujaacha wanapaita tanga sisi tunapaita nyumbani [emoji1787][emoji1787]
Tanga ni Kwa wote. Hata wageni wakiingia Kwa mara ya kwanza, lazima waweke kambi. Ntakuja kununua kiwanja huko, nikaribisheni 😅😅
 
Back
Top Bottom