Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

Hakuna mboga ambayo sio tamu mkuu, mpishi awe fundi tu
 
Utakuta madikini huyo si msambaa Ni mdigo
Huyu wa sasa ni msambaa, mdogo alishaolewa tayari. Ubaya wa hawa mabinti,wanafundishwa mambo mengi sana, na wanajua vitu vingi hadi sometime inakuwa kero.

Just imagine kuna huyo mmoja alikuwa kila wiki end anakuja kuangusha kwangu. Siku hiyo nipo mishe katikati ya wiki, akanitext kuwa nitamkuta home. Alaf siku hiyo nilikuwa na appointment na Dem mwingine, ili kufuta ushahidi, after show ya nje, nikajimwagia maji pale pale lodge bila kutumia sabuni, then nikageuka gheto.

Nafika gheto, kama kawaida yake kwenye kunipokea kanivua nguo zote ili nikaoge, maana wao bafuni wanataka uende na taulo tu au khanga. Baada ya kunivua nguo zote, akanikumbatia, kipindi nafeel joto la mwili wake akaanza kunicheka. Namuuliza unacheka nn? Ananiambia, nguo zako zinanuka jasho la siku nzima, ila ww uliyezivaa huna hata hiyo harufu ya jasho 😅😅😅😅

Nikataka kujitetea, akaniambia ",sshhiii, nenda kaoge, ila kuwa mwangalifu, magonjwa ni mengi"
 
Wanaume wa kitanga tatizo hawajali kutunza familia, wengine wabahili hata kama mko ukewenza mtajitunza wenyewe na mume akija anataka akute chakula tayari [emoji108]
Hawapendi kufanyakazi ngumu 😅😅😅
 
Nenda UKEREWE halafu njoo na idadi ya maPROFESSOR au RUVUMA

Unataka mapenzi ya mbebelezo au kiuno cha balaa nenda kusini namaanisha Ruvuma, Mtwara na Lindi. TANGA wanasubiri saaana


Hawafui dafu kwa wanawake wa kitanga hao!

Swala sio mauno feni peke yake lakini maswala kama vile upishi wa chakula kizuri, nyama ya ulimi, adabu na heshima kwa Mwanaume hayo utayapata kwa watanga tu hao wengine hawana [emoji108][emoji108]
 
Halafu wanaume wa Tanga wakioa wanawake makabila ambayo si ya Tanga huwa wanakuwa na mambo ya kijingaaaa !

Huwa wanatawaliwa na wanawake zao.

Wanawasahau hadi wazazi wao mazima!

Watajenga ukweni na kwa mke kwao anakusahau halafu baada ya muda mke anaanza visa na kumfukuza Mwanaume!
 
ulinyweshwa mkojo wewe
 
Kwa wastani wanawake wa kitanga ndio wenye wanasifa zile wanaume wengi wanazipenda toka Kwa mwanamke (Mpenzi au mke).

1. Nyama ya ulimi (kauli njema).
2. Wanajua kumsikiliza Mwanaume
3. Wana adabu na heshima kwa Mwanaume, hata kama ameudhika kiasi kikubwa anajua kujizuia kumtukana Mwanaume Na kupitiliza.
4. Ni wakarimu kwa ndugu wa Mwanaume Na majirani.
5. Wanajua nini cha kufanya kitandani na Mwanaume
6. Mapishi wako vizuri, wanaume wote Duniani wanapenda kula vizuri. Na hapa ni eneo muhimu ambalo mwanamke akijielewa anaweza kuukamata moyo wa Mwanaume vizuri.
7. Wanajua Mwanaume ametukuzwa na vitabu vitakatifu hivyo yeye ni nani wa kumchukulia poa?!

8. N.k.
 
Kwa jinsi hiyo hata wanaume wao watakuwa hawana magonjwa ya pressure,kama huku kwingine mara mnagombania mali,mara hajapika kisa na yeye kachoka,mara chakula cha usiku hupewi mpaka atakapojisikia,mara unarudi nyumbani anaambiwa house girl kampokee baba na umuandalie na chakula,hatari sana kwakweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…