Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

Aisee nusu nianze kulia umenikumbusha mbali chief, tena yule mtoto alikuwa anajua kupika sijui nilikosea wapi, yan me nlikuwa sipendag kabich, dagaa, spinach na vitu kama izo ila yule demu ndio alinifanya nijue kumbe kabich ni tamu kama nyama tu aisee.. Nimekuja kuangukia kwa mtu anajua kupiga ugali maharage na maparachichi ya tukuyu aiseee... 😭😭😭😭😭
Hakuna mboga ambayo sio tamu mkuu, mpishi awe fundi tu
 
Utakuta madikini huyo si msambaa Ni mdigo
Huyu wa sasa ni msambaa, mdogo alishaolewa tayari. Ubaya wa hawa mabinti,wanafundishwa mambo mengi sana, na wanajua vitu vingi hadi sometime inakuwa kero.

Just imagine kuna huyo mmoja alikuwa kila wiki end anakuja kuangusha kwangu. Siku hiyo nipo mishe katikati ya wiki, akanitext kuwa nitamkuta home. Alaf siku hiyo nilikuwa na appointment na Dem mwingine, ili kufuta ushahidi, after show ya nje, nikajimwagia maji pale pale lodge bila kutumia sabuni, then nikageuka gheto.

Nafika gheto, kama kawaida yake kwenye kunipokea kanivua nguo zote ili nikaoge, maana wao bafuni wanataka uende na taulo tu au khanga. Baada ya kunivua nguo zote, akanikumbatia, kipindi nafeel joto la mwili wake akaanza kunicheka. Namuuliza unacheka nn? Ananiambia, nguo zako zinanuka jasho la siku nzima, ila ww uliyezivaa huna hata hiyo harufu ya jasho 😅😅😅😅

Nikataka kujitetea, akaniambia ",sshhiii, nenda kaoge, ila kuwa mwangalifu, magonjwa ni mengi"
 
Wanaume wa kitanga tatizo hawajali kutunza familia, wengine wabahili hata kama mko ukewenza mtajitunza wenyewe na mume akija anataka akute chakula tayari [emoji108]
Hawapendi kufanyakazi ngumu 😅😅😅
 
Nenda UKEREWE halafu njoo na idadi ya maPROFESSOR au RUVUMA

Unataka mapenzi ya mbebelezo au kiuno cha balaa nenda kusini namaanisha Ruvuma, Mtwara na Lindi. TANGA wanasubiri saaana


Hawafui dafu kwa wanawake wa kitanga hao!

Swala sio mauno feni peke yake lakini maswala kama vile upishi wa chakula kizuri, nyama ya ulimi, adabu na heshima kwa Mwanaume hayo utayapata kwa watanga tu hao wengine hawana [emoji108][emoji108]
 
Halafu wanaume wa Tanga wakioa wanawake makabila ambayo si ya Tanga huwa wanakuwa na mambo ya kijingaaaa !

Huwa wanatawaliwa na wanawake zao.

Wanawasahau hadi wazazi wao mazima!

Watajenga ukweni na kwa mke kwao anakusahau halafu baada ya muda mke anaanza visa na kumfukuza Mwanaume!
 
Unapozungumzia swala la ubishi, wapo watu wengi ambao ni wabishi, ila Waha ni exceptional. Ukizungumzia ubahili, wengi ni wabahili, ila Wapare ni special case. Ukigusa elimu, mikoa mingi inajitahidi, ila Wahaya ni special case.

Vivyo hivyo kwenye mapenzi, mafundi ni wengi sana, ila watu kutoka Tanga, swala la mapenzi wanalichukulia serious sana. Yeyote ambaye ashawahi date na wanawake wa kitanga anaweza akawa shahidi juu ya hili. Kabla sijawazoea, binti wa kitanga wa kwanza kudate nae, mambo mengi nilikuwa nashangaa.

Nilimuandalia chai, alivyomaliza kunywa akaniambia "Asante kwa kuninywesha maji ya makuti". Nikamuuliza kwanini unaita maji ya makuti? Hakunijibu akacheka tu. Ila siku alivyokuja kunipikia chai ndio nilielewa. Chai yao unakunywa hata bila kuweka majani. Ikimiminwa kwenye kikombe inatoa harufu zinazovutia.

Maji ya kuoga alikuwa anayaweka udi na manukato fulani nimeyasahau jina, kiasi kwamba ukitoka kuoga, bafuni panabaki harufu fulani nzuri. Hata wewe muogaji, mwili unabaki na harufu za manukato, sio sabuni. Chakula wakipika, kinavutia hata kwa macho, Yaani kabla hata hujala, kinakupa hamu.

Kwenye kudekeza ndio balaa. Mimi ni mgumu, lakini ilifikia kipindi hadi nikaanza kujishangaa. Maana nikikutana nae nakuwa kama vile last born wake. Hata nikijiminya minya mguu kuwa unauma, akitoka nje, anarudi na beseni, naanza kukandwa miguu. Na umri huu nilionao, kuna baadhi ya siku nilikuwa naogeshwa.

Mimi ni miongoni mwa wale watu ambao miili yetu hainaga Shukrani, hata tule vipi, miaka yote ngozi inakuwa imebanana na mwili. Ila ndani ya miezi 3 tokea niwe nae niliongezeka kilo 5. Yeye anafanya kazi ya kunicheka tu kuwa nilikuwa nakula ovyo, sikuwa nakula vizuri.

Linapokuja swala la 6x6, pia wako na mpangilio. Binafsi katika mahusiano yangu mengi sinaga kawaida ya kujifosi sex, nikipiga round zangu 3, hiyo imetoka, sitoi jasho zaidi. Tena katika hizo round 3, round ya kwanza ndio huwa naifurahia to the maximum, sometime naweza hata kufumba macho wakati napiz, ila hizo zingine mbili ni Kwa ajili ya heshima tu, nisijekuitwa Mourinho, nafunga goli moja halafu napaki bus.

Ila kwa mabinti wa kitanga, wana uwezo wa kukupeleka mchaka mchaka watakavyo. Usiku mmoja unaweza kwenda goli nne pure, sio zile za kujifosi, ni zile ambazo raha unaipata tokea unapump hadi unamwaga, sio wakati wa kumwaga peke yake.

Siku zote ambazo nilikuwa nipo ovyo halafu sijiskii kusex, hizo ndizo siku alikuwa ananifanya nakuwa active kwa kadiri anavyotaka yeye. Mpaka leo hii naamini mwanamke ndio anadetermine idadi ya round anazoenda mwanaume kitandani. Sasa hawa wengine mkiingia ndani anajibinua, anatulia, then anategemea uende round 5.

Lafudhi yao haichoshi kusikiliza, shape zao kawaida, ila mikito yao ni next level. Binafsi nilikuwa addicted sana na mishangazi, kiasi kwamba mabinti wa rika langu walikuwa hawanipi stimu, sikuwa nawapa attention sana. Nilivyopigwa chini na lishangazi linaitwa Mwahija, ndio nikaangua kwa binti wa kitanga, kiufupi aliplay role kubwa sana mpaka nikaamua kuachana na mashangazi, ili nikomae na rika langu. Na tokea hapo, nimekuwa na badili makabila tu, ila sitoki nje ya mkoa huo, nikitoka kidogo narudi😅😅. Na Sina mpango wa kudate mashangazi tena, labda Mwahija akubali kunirudia au nimpate yule Mama ake Mariam, maana nae si haba.

Sema tatizo lao (mabinti wa kitanga), akikuacha maumivu yake ni kama vile umefukuzwa kazi au mstaafu aliyezudhulumiwa pension yake, hayavumiliki. Ukiwa na roho nyepesi unaweza omba msamaha hata kosa sio lako. Na ukienda Tanga kutafuta maisha, kama umeoa, unaweza telekeza familia yako.

Watanga wapo serious sana kwenye issue za mapenzi.
ulinyweshwa mkojo wewe
 
Kwa wastani wanawake wa kitanga ndio wenye wanasifa zile wanaume wengi wanazipenda toka Kwa mwanamke (Mpenzi au mke).

1. Nyama ya ulimi (kauli njema).
2. Wanajua kumsikiliza Mwanaume
3. Wana adabu na heshima kwa Mwanaume, hata kama ameudhika kiasi kikubwa anajua kujizuia kumtukana Mwanaume Na kupitiliza.
4. Ni wakarimu kwa ndugu wa Mwanaume Na majirani.
5. Wanajua nini cha kufanya kitandani na Mwanaume
6. Mapishi wako vizuri, wanaume wote Duniani wanapenda kula vizuri. Na hapa ni eneo muhimu ambalo mwanamke akijielewa anaweza kuukamata moyo wa Mwanaume vizuri.
7. Wanajua Mwanaume ametukuzwa na vitabu vitakatifu hivyo yeye ni nani wa kumchukulia poa?!

8. N.k.
 
Kwa jinsi hiyo hata wanaume wao watakuwa hawana magonjwa ya pressure,kama huku kwingine mara mnagombania mali,mara hajapika kisa na yeye kachoka,mara chakula cha usiku hupewi mpaka atakapojisikia,mara unarudi nyumbani anaambiwa house girl kampokee baba na umuandalie na chakula,hatari sana kwakweli...
 
Back
Top Bottom