Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

mwamba kwa kusifia tu uko vizuri,unasifia Hadi mtu unahisi unaangalia video. Unasifia Kama yule jamaa wa Jambo na vijambo. [emoji119]

Ila watanga hapana,kitendo Cha kwenda bafuni kisosi Cha chai na kigoda ili ukioga ukae na makende yasiguse chini ila yamwagikie kwenye kisosi,nimewavulia kofia.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee nusu nianze kulia umenikumbusha mbali chief, tena yule mtoto alikuwa anajua kupika sijui nilikosea wapi, yan me nlikuwa sipendag kabich, dagaa, spinach na vitu kama izo ila yule demu ndio alinifanya nijue kumbe kabich ni tamu kama nyama tu aisee.. Nimekuja kuangukia kwa mtu anajua kupiga ugali maharage na maparachichi ya tukuyu aiseee... [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli kabisa usiopingika, Wakwangu alikua anaitwa Mamuu. Tumepotezana muda mrefu naomba nichkue nafasi hapahapa kumtafuta. wacha nimwambie neno "Mamuu nimeuona huu uzi nikauchukulia fursa hapa hapa. Ninakuwaza kila siku Mamungi ukiuona huu huzi ujibu kwa hapa chini nijue ni ww. wako mpenzi tuliepotezana.
 
Back
Top Bottom