Kwenye suala la misitu Tanzania ndiyo tulitakiwa tuwasaidie UAE, sio wao watusaidie sisi

Tumegeuka viwete wa akili aisee.

Ndio shida ya kuongozwa na fom foo felia.
 
Ushamba kipaji
Hao wameingia makubaliano ili wauziwe hewa ya Ukaa

Kenya juzi kawauzia Saudi Arabia nyie mmebaki na ushamba wenu tu🤣🤣
Hiyo ni biashara kubwa sana katika dunia ya sasa!! Embu someni ndugu zangu na tafuteni exposure basi!! daaah
 
Hio misitu yote imejaa madini watajilipa kupitia uchimbaji madini kwenye misitu yetu
sahihi kabisa, hawa jamaa ni wajanja mno hawawezi kufanya jambo ambalo halina manufaa kwao hata siku moja kwahiyo kama imeekuwa hivyo basi washaona njia ambayo wataitumia katika kujilipa wenyewe
 
Wao pamoja na mambo mengine watanunua hewa ya carbon ,pia waoa Wana wajibu wa kutoa pesa tutunze misitu maana kwao huko wanaishi Kwa kutegemea misitu yetu ,tukiiharibu wanakufa fasta.
 
Wewe ndiyo unatakiwa ujifunze kutoka kwa mtu asiyekuwa na msitu lakini ana uwezo wa kusababisha kuwepo msitu mahali ambapo hapakuwa na msitu.
Sasa sisi msitu tumepewa naturally na Mungu kitu ambacho ni kawaida kila mahali ulimwenguni, unataka na wao waje kwetu uwafundishe nini? Unayo haja wewe ya kujifunza kutoka kwa mtu aliye na uwezo wa kutengeneza msitu kwenye jangwa. Kwa mfano, wanaosoma Degree za kilimo SUA, huwa wanakwenda Israel kujifunza kilimo kwenye zile streams za Negev, sehemu ambayo ni jangwa lakini Waisrael wanastawisha mazao ya chakula humo. Ni haki kwa wanafunzi wa SUA kwenda kujifunza kilimo hicho na si waisrael kuja kujifunza kwetu sisi. Kinachotafutwa hapa ni Teknoloji, kwamba hawa watu wanatumia Teknoloji gani kufanya hayo maajabu?
 
Ni fedheha kwelikweli! Watanzania tunajiaibisha Sana!
 
Unaonaje Bunge likikataa...
Mfano: Bunge lingekuwa na uwakilishi wa 50/50 na upande wa pili, wakaikatalia Serikali.
Hakuna mbunge mwenye uwezo wa kukataa bongo hii. Spika tu alikohoa kidogo akafurumushwa

Wakishapitisha kwenye baraza, huko bungeni ni kukamilisha ratiba.

Hata ikiwa 50/50 bado watapitisha kwa nguvu, kwani hata kweye uchaguzi si wanatumia nguvu ije kuwa kupitisha kitu kama hicho bungeni?

Unajua solution? Sina mwanasheria Ila ningekuambia solution ya hayo yote
 
Makanyaga UMEYAKANYAGA mchana kweupe!! Tulia na usome bila papara.
 
Mlishaambiwa na mababu zenu...
Kwenye miti, hakuna wajenzi....
Kwa hiyo mkae kwa kutulia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…