Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe tushakujua, kwa siku unaanzisha nyuzi lukuki kuwapa promo hawa ndugu zetu katika Imani.Wao pamoja na mambo mengine watanunua hewa ya carbon ,pia waoa Wana wajibu wa kutoa pesa tutunze misitu maana kwao huko wanaishi Kwa kutegemea misitu yetu ,tukiiharibu wanakufa fasta.
Wewe Kwa akili Yako mbovu unadhani Kwa nini wanalazimika kutoa pesa?Wewe tushakujua, kwa siku unaanzisha nyuzi lukuki kuwapa promo hawa ndugu zetu katika Imani.
Jamii yetu isipokuwa na utaratibu mzuri wa kuchagua viongozi wao madhara yake ndio haya sasa. Tulikuwa tunafurahia kupita bila kupingwa madhara yake ndio hayaHivi tufanyeje kama taifa maana wabunge hawatusaidii?
Viongozi waondolewe KINGA!! MTU AKIPUYANGA AFUNGWE MAISHANi fedheha kwelikweli! Watanzania tunajiaibisha Sana!
Siku zote walikua wapi??Wewe Kwa akili Yako mbovu unadhani Kwa nini wanalazimika kutoa pesa?
Swali la kijinga kamuulize mjinga mwenzio..Siku zote walikua wapi??
Miti ya mbao!?..hatuzungmzii miti ya mbao ambayo itavunwa,tunazungumzia kurejesha misitu iliyopotezwa,misitu iliyovunwa tabora na kuacha jangwa tabora nchi ya Rwanda inaingia Mara mbili,tunarudishaje hiyo miti!?...Miche unayo?Njoo huku Njombe, Iringa na Kagera uone misitu ya kupandwa!! Kama unataka kupandwa sema
Basi usije kuitwa kujieleza.Hakuna mbunge mwenye uwezo wa kukataa bongo hii. Spika tu alikohoa kidogo akafurumushwa
Wakishapitisha kwenye baraza, huko bungeni ni kukamilisha ratiba.
Hata ikiwa 50/50 bado watapitisha kwa nguvu, kwani hata kweye uchaguzi si wanatumia nguvu ije kuwa kupitisha kitu kama hicho bungeni?
Unajua solution? Sina mwanasheria Ila ningekuambia solution ya hayo yote
Umejuaje the next atakua zaidi ya Magufuli??Swali la kijinga kamuulize mjinga mwenzio..
Wewe hapo ungekuwa na hela Kwa sababu najua ni maskini,ungeweza kuleta uwekeze Ili uporwe na Magufuli?
Tiss mmelala wapi huyu samia anauza nchi?Mwezi February mwaka huu, Serikali ya Tanzania ilisaini hati ya makubaliano (MOU) na Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa ajili ya kutusaidia kuendeleza misitu yote nchini, inayosimamiwa na Wakala wa misitu (TFS). Yani waarabu wanaoishi Jangwani wanatusaidia kuendeleza misitu. Kwanini wasipande misitu kule kwao waondokane na Jangwa?
Nadhani kwenye suala la misitu sisi ndio tulitakiwa tuwasaidie waarabu sio wao watusaidie sisi. Sisi tuna misitu ya asili na misitu ya kupanda. Tuna mapori ya akiba na mapori tengefu. Tuna misitu ya mvua (Rain forest) misitu ya minene (tropical thick forest), na misitu hafifu (broadleaf forest). Yani kwa kifupi kuhusu misitu, mapori na masuala ya miti na utunzaji wake, hakuna wa kutuambia kitu. Tupo vizuri.
Waarabu wao ndio wanatakiwa waje wajifunze hapa kwetu kuhusu misitu. Na sisi ndio tunapaswa tuwasaidie ili waweze kuwa na misitu kule kwao au hata mapori ya akiba. Lakini eti wao ndio wanatusaidia sisi kuendeleza misitu? Yani watu wasio na msitu hata mmoja wana kipi cha kutusaidia sisi ambao tuna misitu na mapori kila wilaya? Hii ndio mara ya kwanza nasikia Mzaramo anataka kumfundisha Mmasai kuhusu ufugaji wa ngombe. Apaaa ndenga.
==========
Blue Carbon UAE based entity and the Government of Tanzania through Tanzanian Forest Services Agency (TFS) have signed a Memorandum of Understanding marking the start of a collaboration aimed at promoting sustainable forest management practices and reducing greenhouse gas emissions. Dubai under the chairmaship of King Sheikh Ahmed Dalmook Al Maktoum.
UAE, Tanzania sign MoU on promoting forest conservation
Dr. Jafo has said this is the first time for such an agreement after the Vice President’s Office in collaboration with various stakeholders completed the preparation of guidelines for the carbon trade in October 2022.
He said that the signing of the agreement will open the doors for citizens to plant trees in abundance and take care of the environment so that they can enter the business.
"It is our belief that we will now rely on having many opportunities as well as restoring the damaged environment and we see that even mangroves are also entering the carbon market, so TFS will now have a wide field to ensure that our forests are protected," he said.
Speaking during the signing ceremony of the agreement, the King Al Maktoum who accompanied his dellegation said the partnership will focus on supporting the government's efforts to conserve, manage and register its forest resources of 8 million hectares in first phase 1 including 56,000 hectares of mangroves and sell these credits under Article 6 of the the Paris Agreement.
This will strengthen the partnership between the two countries, in developing new carbon offset projects to support decarbonization targets.
Commenting on the visit, Sheikh Ahmed Dalmook Al Maktoum, the Founder and the Chairman of Blue Carbon said, “We are honored to sign this MoU with the Government of Tanzania. This collaboration represents an important step towards promoting sustainable forest management practices and fighting the climate change.”
On his part, Minister of Natural Resources and Tourism Ambassador Dr. Pindi Chana has called on the people to ensure that they plant mit in abundance especially during this rainy season so that it can grow and enter the carbon business.
She said that our country has been blessed with an area of approximately 48.1 million hectares with forests that have been very beneficial to its citizens in their daily lives.
"If we take care of our forests, we will get many benefits because we see that water sources depend on forests, many sectors depend on trees such as agriculture, health, construction, sanitation, so it is important to protect and preserve forests," she emphasized.
And the Conservation Commissioner for TFS Prof. Dos Santos Silayo has said that the time has come for developed countries to contribute to countries that continue to reduce greenhouse gases.
He said that the signing of the agreement with Blue Carbon is the beginning of the implementation of these activities where the company will start the registration process to comply with the instructions.
Prof. Silayo has given inspiration to developing countries to prioritize the preservation of forests in order to lay the foundation for areas that can focus on carbon trading, which has become an alternative to economic activities at the moment.
Source: VPO | News