Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Hasira gani? Kwa hiyo tusiuze hewa ya ukaa? Au hata huelewi kuwa kuna biashara ya hewa ya ukaa inafanyika duniani huko?Haya mambo yanatia hasira sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasira gani? Kwa hiyo tusiuze hewa ya ukaa? Au hata huelewi kuwa kuna biashara ya hewa ya ukaa inafanyika duniani huko?Haya mambo yanatia hasira sana
shida ni ushamba wako. Duniani saivi kuna biashara kubwa sana ya hewa ya ukaa. Juzi tu Kenya kawauzia Saudi ArabiaTiss mmelala wapi huyu samia anauza nchi?
Sidhani kama tunaweza chagua wendawazimu wengineUmejuaje the next atakua zaidi ya Magufuli??
Ukinijibu, wewe ni mjinga zaidi yangu
Siyo kama serikali haikuwa na fedha ila serikali inatumia fedha zake kwa viongozi kuponda maisha. Ni matusi kwa nchi kama yetu kusaidiwa kwa mambo kama hayo. Ati serikali haina uwezo wa kupata mbegu za miti?Miaka ya 90 nilikua kwenye elimu yangu ya msingi na sekondari,palikua na program nyingi za kupanda miti,Miche ilikua ikilipiwa aidha na world vision au NGO za Sweden,serikali haikua na pesa,Sasa je Leo pesa ya Miche tunayo!?
Unaongeaongea tu Kama dada mkaanga mihogoSiyo kama serikali haikuwa na fedha ila serikali inatumia fedha zake kwa viongozi kuponda maisha. Ni matusi kwa nchi kama yetu kusaidiwa kwa mambo kama hayo. Ati serikali haina uwezo wa kupata mbegu za miti?
Hakuna sehemu katika makubaliano yetu wanasema watanunua bali watasaidia kutunza. Ina maana wao wanaweza chukua credit za ‘green credential’ kwenye ‘carbon trade offs’ huko duniani bila ya kulipa nchi chochote nchini au hata wakauza na kulipa kiduchu kwa madai ya wao ndio wanatunza.Hasira gani? Kwa hiyo tusiuze hewa ya ukaa? Au hata huelewi kuwa kuna biashara ya hewa ya ukaa inafanyika duniani huko?
View attachment 2663365
Kilichoingiwa hapo ni MOU sio agreement. MOU itatoa nafasi ya baadae kuingiwa agreement husika ambapo watakuwa wananunua. Shida iko wapi?Hakuna sehemu katika makubaliano yetu wanasema watanunua bali watasaidia kutunza. Ina maana wao wanaweza chukua credit za ‘green credential’ kwenye ‘carbon trade offs’ huko duniani bila ya kulipa nchi chochote nchini au hata wakauza na kulipa kiduchu kwa madai ya wao ndio wanatunza.
Unapata picha kwanini Bi Tozo juzi kagusia TFS na mtu mwenye aliyepewa kazi ya kufanya tathmini za biashara za kufuta ‘Nehemia Msechu’ ambae baada ya kukopewa almost tsh 1.5 trillion za miradi hela kamaliza miradi ipo njiani na sehemu kubwa ya nyumba zilizoisha wameishia kupangisha badala ya kuuza.
Huyo mama yenu anahitaji speed governor kwakweli.
Ata huko bandarini ni uwekezaji mzuri tu kama terms za HGA zitakuwa in our favour. Sielewi kwanini serikalini wapo kimya labda washaona hizo draft za HGA ni ovyo ndio maana wanataka kutumia agenda ya IGA kufuta kabisa kilichopangwa mbele.
Huyo mama ni shida kwa sehemu kubwa.
Umesoma vizuri hiyo post number 1, wataendeleza.Kilichoingiwa hapo ni MOU sio agreement. MOU itatoa nafasi ya baadae kuingiwa agreement husika ambapo watakuwa wananunua. Shida iko wapi?
Umesoma vizuri hiyo post number 1, wataendeleza.
Halafu ulimsikia vizuri Bi Tozo wakati anapokea gawio la MNB hiyo TFS ni moja ya taasisi anayotaka kuifuta.
Watu ambao wamekuwa wakipanda misitu wenye kila siku leo waje kufundishwa na waarabu, nchi ambayo duniani inajulikana kwa kutunza na kupanga maeneo ya makazi, imetenga 2/3 ya ardhi yake kama eco reserve leo Mwarabu aje kutufundisha.
Ni hivi mkataba wa kununua na wa kutunza ni vitu viwili tofauti. Huo wanaotaka wao wa kutunza unawapa uhalali wa kufanya carbon trade bila ya serikali. Sisi atutakuwa wa kwanza kuwa cheated ata Uganda ‘Julian Ozanne’ (ex husband wa Gillian Anderson wa ex-files) alishafanya ivyo akawa yeye ndio anavuna na kulipa kodi tu kwa serikali akawa na kashfa kubwa sana U.K. ya kupora ardhi nchi za third world.
Pengine naweza kuwa ni dada mkaanga mihogo. Na bora niwe hivyo kuliko kuwa na ubongo kama wa wako.Unaongeaongea tu Kama dada mkaanga mihogo
You don’t come across as someone who articles written English are hard to grasp.Umeuona huo mkataba unaowapa uhalali wa kutunza na kuuza? Tuwekee hapa tuusome
You see? You are alleging something and you are asked to bring your proof huna!!You don’t come across as someone who articles written English are hard to grasp.
Soma nakala iliyowekwa page 1. Hiyo MoU si ya wao kununua carbon trade; bali kushirikiana na TFS kutunza misitu ili waweze kuuza nje.
Sasa unadhani wataweka hela zao bure, halafu wewe upate faida ya Carbon Trade pekee yako.
Si ndio kitu kama hiko alichokuwa anafanya huyo ‘Julian Ozanne’ na kutajirika Uganda.
Mbaya zaidi mama juzi kasema wazi anampango wa kuifuta TFS, labda uwe ujasikiliza speech yake akipokea hundi ya MNB.
Ikulu imerudi kuwa sehemu ya kufanyia biashara kwa kasi ya ajabu.
You see? You are alleging something and you are asked to bring your proof huna!!
Your arguments zimebase kwenye assumptions tu na sio reality. Without kuonyesha vipengele hivyo vya MOU vinavyosema hivyo unakuwa kama mganga wa kienyeji tu mpiga ramli.
Hoja yako ni ipi sasa? Kufutwa kwa TFS au nini?![]()
UAE holding company launches new entity to boost green investments | The National
Blue Carbon will enter bilateral agreements with countries and private companieswww.thenationalnews.com
Kujadiliana na watu wenye ushabiki wa kitoto saa zingine ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
Tanzania imesaini MoU na kampuni inayoitwa ‘Blue Carbon’ ya UAE nenda kwenye website yao uone wao wananunua kwenye trade offs au wanatunza mazingira na kuuza benefits zake.
Hiyo kampuni itakuja Tanzania itauza hizo benefits huko huko kwao UAE na kulipa kodi Tanzania na kugawanya mapato na TFS kama Bi Tozo ajaifuta; na akifanikiwa kuifuta TFS basi ‘Blue Carbon’ wanachukua hela yote peke yao na kulipa kodi tu.
Nafikiri anapointi haiwezekani mtu ambaye hana uzoefu na kitu husika aje akufundishe wewe unayeishi na kitu hicho. Hii ni ajabu ya karne!Malisa ni mbaguzi na mdini hasa,
Hapo naona anajadili uarabu
Kwamba Congo DRC au Somalia nfiyo wanaotakiwa kuwapatia Canada silaha na mafunzo ya Kivita?Mwezi February mwaka huu, Serikali ya Tanzania ilisaini hati ya makubaliano (MOU) na Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa ajili ya kutusaidia kuendeleza misitu yote nchini, inayosimamiwa na Wakala wa misitu (TFS). Yani waarabu wanaoishi Jangwani wanatusaidia kuendeleza misitu. Kwanini wasipande misitu kule kwao waondokane na Jangwa?