Kwenye suala la misitu Tanzania ndiyo tulitakiwa tuwasaidie UAE, sio wao watusaidie sisi

Kwenye suala la misitu Tanzania ndiyo tulitakiwa tuwasaidie UAE, sio wao watusaidie sisi

shida ni ushamba wako. Duniani saivi kuna biashara kubwa sana ya hewa ya ukaa. Juzi tu Kenya kawauzia Saudi ArabiaView attachment 2663369
Kenya wameuza product ya misitu sio kuwakabidhi misitu yao
Hivi faida tunayoipata kwenye misitu inashindwa kuendesha misitu yetu wenyewe
Tungeingia nao mkataba wa kuwauzia mazao ya misitu sio kuwaingiza ndani ya misitu ambao ndo jikoni
Mikataba yote ya nje inabidi ipitiwe upya ina ukakasi sana
 
Wapi imesemwa tumewakabidhi misitu?
 
[emoji2][emoji2][emoji1787] Ama kweli sisi ni kichwa cha mwendawazimu! Hii ni sawa na Mmasai kwenda kumfundisha Muha wa Kigoma kuvua dagaa!
Au mpemba kwenda kumfundisha msukuma kufuga ng'ombe
 
Hawa wanatoa ufadhili wa kutunza mazingira wanatoa fungu kwa ajili ya hewa ya ukaa. Kule njombe wanalipwa ili kutunza mazingira. Embu tuondoe mawazo ya kuibiwa kila tukiona ngozi nyeupe. Dunia kijiji tunahitaji ukaribu na watu wengine ili tujikwamue na umasikini

Hewa ukaa (carbon) Ni hewa inayozalishwa hasa na shughuli za viwanda na inasababisha uharibifu wa tabaka la ozoni (ozone layer). Hewa hii (ya ukaa) itaweza kupunguzwa tu kwa kuongeza uoto wa kijani. Kwa kufanya hivyo dunia imeingia mkataba na makampuni na nchi zinazozalisha hewa ukaa kwa wingi hivyo kuharibu ozoni kutoa kiasi kikubwa cha fedha kugharimia ulinzi wa rangi ya kijani duniani hivyo Kijiji au mtu binafsi au taasisi ya serikali inaweza kuuingiza msitu wake katika mkataba wa kuulinda ukijani utakaolinda uharibifu wa ozoni yaani utakaopunguza hewa ukaa na wahusika hulipwa billions of money!
 
Miaka ya 90 nilikua kwenye elimu yangu ya msingi na sekondari,palikua na program nyingi za kupanda miti,Miche ilikua ikilipiwa aidha na world vision au NGO za Sweden,serikali haikua na pesa,Sasa je Leo pesa ya Miche tunayo!?
Huku Mufindi vitalu vya miche vingi sana na kuna chuo kabisa kinafundisha mambo ya misitu tu. Bado kuna SUA, kwa hiyo elimu yetu inatusaidia nini?
 
Hapo inatafutwa uvunaji wa mbao za pori na misitu ya kupandwa na tfs hakuna uendelezaji wowote hapo ni unafiki tu
 
Back
Top Bottom