Najua ulidhamiria iwe ya kiserikali, ya kidini ya Kikiristu au Kiislamu, na sio ndoa ya mahakamani!. Hakuna ndoa ya mahakamani, kitu pekee cha mahakamani kwenye ndoa ni talaka.ili ndoa ipate cheti ni lazima iwe ya mahakamani, kanisani, msikitini tu
Wahi hospitali, ukichelewa utapotea zaidi.Kuongezeka kwa single mothers, watoto wa mtaani sababu ni wewe waziri Gwajima na wizara yako kulifanya swala la ndoa kuwa gumu sana na lenye gharama.
Pia ujifunze kuwa na heshima na adabu mtoto wa kike!, kitendo cha kumu address Mhe. Waziri "wewe waziri" sio heshima, sio adabu kwa mtoto wa kike!Wewe waziri Dk Gwajima
Kwa kukusaidia tuu, kwa Tanzania, cheti cha ndoa ni kimoja tuu, kile cha kiserikali!, hakuna cheti cha kanisani wala cha msikitini, kule ni aina tuu ya ndoa ama ya Kikiristu, Kiislamu, kiserikali au ya kimila, Wenyeviti wote wa vijiji ni wasajili wa ndoa za kimila na zina cheti halali kile kile cha kiserikali.Swala la ndoa vijana wapewe cheti halali ila pia wakitaka kuongeza cheti cha kanisani au msikitini ni sawa,
Rekebisha basiAsante sana mkuu
Alipoanza kusema cheti Cha kanisani,msikitini nikajua tu hajui hata anachoongeleaKwa kukusaidia tuu, kwa Tanzania, cheti cha ndoa ni kimoja tuu, kile cha kiserikali!, hakuna cheti cha kanisani wala cha msikitini, kule ni aina tuu ya ndoa ama ya Kikiristu, Kiislamu, kiserikali au ya kimila, Wenyeviti wote wa vijiji ni wasajili wa ndoa za kimila na zina cheti halali kile kile cha kiserikali.
P
Usijali swala lako litapata ufumbuzi MiGa. Na kwa kuwa bwawa la Nyerere na sgr na stendi za Magufuli everything will be alright.Wewe waziri Dk Gwajima kinachofanya mpaka leo ndoa za kimila hazina cheti halali ni nini?
Kwa sasa ili ndoa ipate cheti ni lazima iwe ya mahakamani, kanisani, msikitini tu ,swala hili linasikitisha sana.
Kuongezeka kwa single mothers, watoto wa mtaani sababu ni wewe waziri Gwajima na wizara yako kulifanya swala la ndoa kuwa gumu sana na lenye gharama.
Swala la ndoa lilitakiwa liwe simple yani wakwe wakielewana na kupeana mahali kulingana na mila na desturi zao basi vijana wao wapewe cheti halali ila pia wakitaka kuongeza cheti cha kanisani au msikitini ni sawa,
Lakini hili swala la kusema kama huna cheti cha kanisani au msikitini hupati huduma hata ya Bima ya afya siyo Sawa na tutaendelea kushuhudia ongezeko la single mothers.
Yes cheti kinatolewa na RITA. Iwe ndoa ya kikristo, kiislam, civil, na kimila.Kwa kukusaidia tuu, kwa Tanzania, cheti cha ndoa ni kimoja tuu, kile cha kiserikali!, hakuna cheti cha kanisani wala cha msikitini, kule ni aina tuu ya ndoa ama ya Kikiristu, Kiislamu, kiserikali au ya kimila, Wenyeviti wote wa vijiji ni wasajili wa ndoa za kimila na zina cheti halali kile kile cha kiserikali.
P
Watu wanaoana kijijini huwa wanapewa cheti cha ndoa?Kwa kukusaidia tuu, kwa Tanzania, cheti cha ndoa ni kimoja tuu, kile cha kiserikali!, hakuna cheti cha kanisani wala cha msikitini, kule ni aina tuu ya ndoa ama ya Kikiristu, Kiislamu, kiserikali au ya kimila, Wenyeviti wote wa vijiji ni wasajili wa ndoa za kimila na zina cheti halali kile kile cha kiserikali.
P
Najua ulidhamiria ndoaIwe India ya kikristo, kiislam, civil, na kimila.
AsanteNajua ulidhamiria ndoa
Rekebisha
P
Kwani cha kuzaliwa huwa lazima uende HQ za RITA?Cheti kitolewe kijijini tu, mpaka Rita kutafuta nini?