Kwenye tukio la kigogo wa Equatorial Guinea nimeamini hiki kizazi sio cha kufunga ndoa

Status
Not open for further replies.
Na hiyo si kwa mwanamke tu, hata mwanamme, kama ni Malaya, basi ni Malaya tu! Kama wanajiheshimu, basi ni kwa wote!
 
Mzee Madiba alishindwa kumsamehe Winnie Mandela na yeye alikua kizazi cha sasa na kama una mzazi wa kiume mtoe out alafu mpige story za kiume ndio utakuja kujua usiyo yajua.
 
Video ziko wapi?
 
hiyo kideo iko wapi
 
Wanawake ndio tunapaswa kuwa kataa ndoa nambari 1, Mtu amekuoa halafu analala na wanawake nje 400 plus!

Tumuweke mwanamke mwenzetu kwenye maombi, WTF!
Mwanamke pekee atleast anaweza kulalamika akicheatiwa ni yule aliyekutwa bikra ila waliokutwa used ni big NO

The game is brutal but still fair
 
Oyaaaa weee 😁😁😁😁
 
Yaani na Mavideo clip yote Yale yaliyo vuja ya huyo Jamaa Ambaye yupo anawagonga wake za watu 🀣🀣🀣🀣 tena wale ambapo ni A Standard kabisa katika nje yao tena amewakula chooni

Huwezi kuamini kuna mtu yupo mahali anafunga ndoa na Mtoto wa mtu huko ama kweli sikio la kufa halisikii dawa 🀣🀣🀣🀣😁
 
Mm nachagua yote nioe pia niwe single😁
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…