Kwenye tukio la kigogo wa Equatorial Guinea nimeamini hiki kizazi sio cha kufunga ndoa

Status
Not open for further replies.
Nakuelewa sana chief
 
Mwanamke pekee atleast anaweza kulalamika akicheatiwa ni yule aliyekutwa bikra ila waliokutwa used ni big NO

The game is brutal but still fair
Mnajustify umalaya wa wanaume mnataka mwanaume ambaye si shoga afanye umalaya na nani? Mbwa??? Obviously atafanya na mwanamke na ndio maana circle haiwezi vunjika.

Tuishi humo!

ERoni anasema mnataka kula cake zenu na bado mbaki nazo mikononi. Impossible future tense!
 
Nchi yemeywe ile Rais ni mnzinzi number moja, mwanae yule ndio makamu wa Rais ndio hafai hata bure sasa cha ajabu nini hapo? Equatorial Guinea wako corrupted kuanzia juu wote wahuni wakupindukia hakuna maadili. Tofauti huyu kajirecord tumeona basi lakini kwa matendo wote hakuna wa kumnyoshea mwenzake kidole.
 
Sijaziangalia ila naskia kijana mtu mzima moto anaupeleka hasaa...
Natibu nguvu za kiume kwa kutumia computer
Hakuna mwanamme ambaye hana nguvu huyu ndio katufanyia research nitapata PHD, ukiwa kila siku mwanammke mpya hurudii hata wakiwa 500 utajishangaa shida wa kurudia ndio lazima booster. Haijalishi hata kama una mrembo wa dunia lakini kila siku itagoma ila kila siku mpya hata ukiletewa mwanammke kama gunia kazi inaenda tu. Kuna la kujifunza πŸ˜€
 
Perception mbaya sana. Do you think your parents were Virgin in the first place, be smart
 
Funga tu. Wakila hawamalizi. Hivi nafahamu kuwa hata hawa wamama wanaojifunika minguo myeusi kujisitiri wanaliwa sana ila watu wanawaona kama waaminifu sana
 
Hizi ni ajali kazini tu, ndoa bado ni muhimu
 
Cha mtu huliwa na mtu....ukila vya watu tegemea na chako kuliwa tena kitaliwa mpaka...huyo mkuu wa jesho yamkin alikuwa bize na michepuko huku mke anamendewa na huyo mkaka.....tutaliwa tu jaman maswala ya kutunza mbunye huku mme anazungusha njululu yake inahuuuuuu......
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…