Kwenye tukio la kigogo wa Equatorial Guinea nimeamini hiki kizazi sio cha kufunga ndoa

Status
Not open for further replies.
Wanawake ndio tunapaswa kuwa kataa ndoa nambari 1, Mtu amekuoa halafu analala na wanawake nje 400 plus!

Tumuweke mwanamke mwenzetu kwenye maombi, WTF!
Dada yangu unamfikiria mtu mmoja,
Vp wanaume ambao wake zao ambao jamaa kapita nao? au tuwaache wapambane na hali yao....... au ndio mwanaume kaumbiwa mateso.

Siyapatii maumivu wanayo ya pitia jamaa walio gongewa na ubaya hizi clip zipo mitandaoni na hazitokuja kufutika daima.
 
Wapo wanawake waaminifu bado, shida ni selection nadhani kinachotugharimu siku hizi ni kuangalia shape za hao wanawake, mwanamke mwenye chura kila mwanaume anakodolea macho hapo, tubadilishe vigezo vya mke wa kuoa.

Lakini pia kuna mtazamo umeibuka kwamba mwanamke anataka pesa tu, kwa hizo video utaona hao walioliwa wanapesa, wana nafasi kubwa katika nchi na bado wameliwa vile vile, pesa haimtulizi mke au mwanamke, ambao tuko Bize kutafuta pesa kwa ajili ya mwanamke tunajitesa bure, tutafute pesa kwa ajili mipango na maendeleo yetu sio kumtuliza mwanamke. Mwanamke kutulia anaamua mwenyewe kwa utashi wake, hao wake wa vigogo ndoa hakuna tena wanarudi mtaani kudanga, lakini heshima yao imeshuka kwenye jamii kama walikuwa wanaonekana mahili au mifano ya kuigwa tayari hawawezi tena kuwa na ule ushawishi
 
Daudi alikula mke wa kamanda wake wa jeshi. Ibrahimu alikula mjakazi wake. Kuna yule alilala na msichana wake wa kumzaa . Sijui anaitwa nani. It is vicious cycle.
 
Kizuri kula na ndugu zako weka link tukaone na sisi
Sa tutatoa maoni gan wakat hatujaona
 
Ni mkoa gani huo mkuu!
 
Vijana acheni Uoga,

Alishawaambia Bwana Rich Mavoko kuwa , "Siku hizi Ujanja , Kuchapiwa ni Siri ya ndani" , So ukichapiwa tulia tu maisha yakwende
 
Sahihi kabisa
 
Kwanini ununue ng'ombe mzima wakati ukitaka nyama zipo Tele Buchani zimejaa
 
Hapana Joseph, Huu mjadala umeanza toka jana, nimeshasema sana kuhusu hao waume zao , sio tu waume; ndugu jamaa na marafiki.

Sasa mimi concern yangu ikawa ni namna ambavyo wanaume wanampraise huyo jamaa na kuwabana hao wanawake. Naelewa concern yao kuwa hawa ni wake za watu, lakini mume ambaye ni mume wa mtu ameondolewa makosa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…