Kwenye tukio la kigogo wa Equatorial Guinea nimeamini hiki kizazi sio cha kufunga ndoa

Status
Not open for further replies.
Mkuu uko,sahihi sana,Kumbuka kwenye ubaya hata wema upo,Hii isikutie kukata Tamaa,Waaminifu Watakuwepo hata kwa uchache hadi mwisho wa Dunia!
 
Kwamba vicious circle - 🤣babu alikuwa mzinzi baba akawa mzinzi automatically mjukuu na vitukuu, vilembwe na vining'ina watakuwa wazinzi
 
Wanawake ni noma,kuna mmoja akaamua kuunywa mkojo wa jamaa
😀😀😇😇


Assume Mke wa mtu anaamua kunywa mkojo wa mtu,alafu video imevujaaa

Hawa viumbe ni shiiida
 
Me kuna muda nafikiria kuhusu haya mambo, nabaki tu kuuliza hivi Mungu anatutazamaje na sijui kama tukifika huko mbele zake itakuwaje, hatukatai wote ni watenda dhambi ila kuna muda tumuogope Mungu na kutetemeka.
Hakuna mungu
 
Sio mchezo, imagine aibu aliyowapa mke na wanae. Kwa kweli wanawake wana haki ya kwanza kukataa ndoa kama mtu mwenyewe ndio wa aina hii
Mtaingia line tuuu.....wa ha dawa iwaingie
 
Pumbavu zako. Je kama ni za kutr E
Pumbavu. Je kama ni za kutengeneza.
 
Sio mchezo, imagine aibu aliyowapa mke na wanae. Kwa kweli wanawake wana haki ya kwanza kukataa ndoa kama mtu mwenyewe ndio wa aina hii
Wanaume 400 wamepata fedhea kubwa kwa kile kinachoitwa ndoa 😂
 
Basi kazi zilikuwa kibwena sana ama ulikuwa ukifanya part time job.

Ajira kabisa watu wanavyozisotea hadi rushwa, eti wewe uje uache kazi kisa kupendwa na malaya!

Penye uongo ukweli hujidhihirisha.
Sina haja ya kukudanganya mzee, kwanza nikudanganye iweje? Nilikuwa kwenye matazamio ya hapo baadae nile mkataba wa kudumu... Km ni mzoefu na hz private sectors utakuwa unakifahamu hiki nachokiongelea. Na sijasema niliondoka na kwenda kuwa jobless... FYI; Nilipata chimbo jingine ndo maana nkaona ni bora nisepe kuepusha shari
 
Kumbe wanaambiana Hawa viumbe ukimgegeda mmoja vizuri...aisee inaelekea jamaa umipiga show hatari eeh
Nadhani... Ila kuna namna fulani ukijiweka huwa ni rahisi kuwapata...

Kuwa smart muda wote kuanzia kichwani, mwili hadi mavazi, socialize na kila mtu na punguza masihara na utoto mwingi (kuwa mature upstairs), km ni the same office provide all necessary help ambayo huyo unayemtaka ataihitaji (from personal issues to work affairs)....

Cha muhimu ukipewa show usiharibu... Mengine jiongeze
 
Ah Sasa kipengele hapo mwenyewe kuwa smart kichwani...wengine sie akili zipo kwenye pumbuz maana tulikuwa back bencher
 
WAnawake wanakojoa kileleni, imagine mkeo uwe hujawahi kumpiga migandisho hadi anatetema, inaumaje?
 
Ah Sasa kipengele hapo mwenyewe kuwa smart kichwani...wengine sie akili zipo kwenye pumbuz maana tulikuwa back bencher
Kuwa smart kichwani sio lazima zichaji sana, bali mambo yako na mipango yako mahali ulipo iwe systematic na well organised... Kuna watu hawajasoma lakini ukiwasikiliza kimawazo utadhani wana PHD (huu ndo usmart wenyewe)
 
Kwasababu hiyo basi….. Kitu kinachoitwa umalaya hakitakaa kiishe. Tuache lawama tuendeleze game!

Kama mwanaume anasifiwa umalaya maana yake inamtia moto kuendeleza umalaya, atafanya umalaya na nani??? (Hii argument ilianzia huko juu)
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…