Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Una mjua Megawati soekarnoputri? huyu alikuwa Musilm ingawa libadilisha Dini na kuwa Hondusim, Huyu mwana mama ametawala Indonesia nchi yenye Idadi kubwa ya Waislam Duniani, kama hujui Indonesia ndio nchi yenye Isadi kubwa ya Waislam Duniani.Kwema Wakuu!
Kama mjuavyo dunia hii ya mfumo Dume sio kazi rahisi kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu ya Urais. Sasa ni ngumu zaidi katika ulimwengu wa kiislamu kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu hasa ya Urais.
Lakini Tanzania inakuwa moja ya nchi za awali kuweka rekodi ya kihistoria hasa katika ulimwengu wa kiislamu, kwa Samia kushika nafasi ya urais. Akitanguliwa na
AMEENAH FAKIM, Rais wa Mauritius, 2015 – mpaka sasa, kisha
ROZA OTUNBAYEVA, Rais wa Kyrgyzstan, 2010-2011,
alafu
ATIFETE JAHJAGA, President of Kosovo, 2011-present,
Hii ní rekodi ambayo kila baba angetamani itimizwe na binti yake. Hongera sana Rais Samia. Sio jambo dogo.
Jioni njema
Si hivo tu!Kwema Wakuu!
Kama mjuavyo dunia hii ya mfumo Dume sio kazi rahisi kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu ya Urais. Sasa ni ngumu zaidi katika ulimwengu wa kiislamu kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu hasa yaU urais.
Lakini Tanzania inakuwa moja ya nchi za awali kuweka rekodi ya kihistoria hasa katika ulimwengu wa kiislamu, kwa Samia kushika nafasi ya urais. Akitanguliwa na
AMEENAH FAKIM, Rais wa Mauritius, 2015 – mpaka sasa, kisha
ROZA OTUNBAYEVA, Rais wa Kyrgyzstan, 2010-2011,
alafu
ATIFETE JAHJAGA, President of Kosovo, 2011-present,
Hii ní rekodi ambayo kila baba angetamani itimizwe na binti yake. Hongera sana Rais Samia. Sio jambo dogo.
Jioni njema
Ila Mimi Bado namkubali Benazir Bhuto ingawa hakuwa Rais Bali PM.Kwema Wakuu!
Kama mjuavyo dunia hii ya mfumo Dume sio kazi rahisi kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu ya Urais. Sasa ni ngumu zaidi katika ulimwengu wa kiislamu kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu hasa ya Urais.
Lakini Tanzania inakuwa moja ya nchi za awali kuweka rekodi ya kihistoria hasa katika ulimwengu wa kiislamu, kwa Samia kushika nafasi ya urais.
Akitanguliwa na
AMEENAH FAKIM, Rais wa Mauritius, 2015 – mpaka sasa,
Kisha
ROZA OTUNBAYEVA, Rais wa Kyrgyzstan, 2010-2011,
Halafu
ATIFETE JAHJAGA, President of Kosovo, 2011-present,
Hii ní rekodi ambayo kila baba angetamani itimizwe na binti yake. Hongera sana Rais Samia. Sio jambo dogo.
Jioni njema
Rais dhaifu zaidi toka uhuru.Kwema Wakuu!

Tanzania siyo nchi ya kiislamuKwema Wakuu!

Hii idadi ndogo inatokana pia na mfumo dume na ukandamizwaji wa wanawake katika dini hiyo. Yani mwanamke anaonekana hana haki ya kuongoza wanaume hata wanae wa kuzaa.Kwema Wakuu!

Inawezekana huna dini hivyo hujui chochote kuhusu dini , hakuna dini yeyote inayo mruhusu mwanamke kuwa kiongozi kwenye masuala ya dini kuanzia Wakristo, Waisilam,wahindu, Wayahudi,Wabudha na kn.Hii idadi ndogo inatokana pia na mfumo dume na ukandamizwaji wa wanawake katika dini hiyo. Yani mwanamke anaonekana hana haki ya kuongoza wanaume hata wanae wa kuzaa.
Accidental president!