Kwenye ulimwengu wa Waislamu, Rais Samia Suluhu ni Mwanamke wa nne Duniani kushika nafasi ya Urais

Kwenye ulimwengu wa Waislamu, Rais Samia Suluhu ni Mwanamke wa nne Duniani kushika nafasi ya Urais

Hii idadi ndogo inatokana pia na mfumo dume na ukandamizwaji wa wanawake katika dini hiyo. Yani mwanamke anaonekana hana haki ya kuongoza wanaume hata wanae wa kuzaa.
Hakuna Dini iliyokuja kumpa thamani na hishma mwanamke kuliko Uislam.
 
Kwema Wakuu!

Kama mjuavyo dunia hii ya mfumo Dume sio kazi rahisi kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu ya Urais. Sasa ni ngumu zaidi katika ulimwengu wa kiislamu kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu hasa ya Urais.

Lakini Tanzania inakuwa moja ya nchi za awali kuweka rekodi ya kihistoria hasa katika ulimwengu wa kiislamu, kwa Samia kushika nafasi ya urais.

Akitanguliwa na
AMEENAH FAKIM, Rais wa Mauritius, 2015 – mpaka sasa,

Kisha

ROZA OTUNBAYEVA, Rais wa Kyrgyzstan, 2010-2011,

Halafu

ATIFETE JAHJAGA, President of Kosovo, 2011-present,

Hii ní rekodi ambayo kila baba angetamani itimizwe na binti yake. Hongera sana Rais Samia. Sio jambo dogo.

Jioni njema
Sheikh hazina. Rais Samia urais huu ni wa kirithi. Angegombea mwenyewe kuanzia mchakato wa kuomba Kura za maoni asingepita hata kwa kidodgo
 
Sheikh hazina. Rais Samia urais huu ni wa kirithi. Angegombea mwenyewe kuanzia mchakato wa kuomba Kura za maoni asingepita hata kwa kidodgo

Unaweza kuwa Sahihi.
Lakini sasa hivi tunazungumzia Rais aliyemadarakani Tanzania ni Samia Mkuu
 
Back
Top Bottom