Kwenye utafutaji watu wanakuwa hawana mda na wewe ila ukifanikiwa ndio kila mtu anajua ushirki wakati hakuwepo

Kwenye utafutaji watu wanakuwa hawana mda na wewe ila ukifanikiwa ndio kila mtu anajua ushirki wakati hakuwepo

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Watu wengi wawe ndugu,jamaa,marafiki ,serikali,ccm mpaka wapita njia ukiwa unatafuta hakuna mwenye mda na wewe.

Ila ukifanikiwa unaweza kusikia yule kazi wa maimum hata kama we ni mtoto haramu kama dini zetu zilivyo kwa ajili ya maskini ukapata haki.

Mafanikio ya mtu kwenye utafutaji yana hukumu nyingi hata DPP wa tanzania kupitia simu za wakubwa na utashi wake unasubiri.

Mafanikio yana sababisha ndugu na marafiki kuona unawatenga wakati wao kipindi ukuwa na mafanikio ukuweza kuona vikao.

Mafanikio kwa nchii ni kama lazima kuwa mwana ccm kulinda mafanikio yako.
 
Back
Top Bottom