Kwenye vijiwe vya kahawa, kashata kachori na pweza hivi sasa stori kubwa ni Rais Samia

Tupige vita njaa umasikini na ujinga
 
Ngoja nipite kimya kwanza nisome comments za wadau ntarudi kuchangia badae
 
So unamaanisha kifo cha yule mzee ilikuwa mpango wa Mungu ili mama apewe kijiti?
Nimeuliza sio kwa ubaya lakini
 
So unamaanisha kifo cha yule mzee ilikuwa mpango wa Mungu ili mama apewe kijiti?
Nimeuliza sio kwa ubaya lakini
Kifo ni fumbo na hakuna anayejua wala kufahamu siku zake za kuishi hapa Duniani.uhai wa mtu na muda wa kuishi hapa Duniani upo mikononi mwa Mungu mwenyewe.
 
Maamuzi magumu kama yapi? SMH
 
SSH ni issue pia, wajinga wamelemazwa akili ili waamini kuwa mtu aliyeshindwa aonekane anaweza.

Hakuna uongozi wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania kama huu wa SSH.
mtazomo wako na wako pekeyako unaheshimiwa sana....

waelekeze basi wapi wanaweza pata uongozi mahiri na shupavu zaid ya Rais Dr.SSH.

sema tu usiogope wala usione aibu wala haya, kuwa huru tuwasaidie watanzania
 
Maamuzi magumu kama yapi? SMH
Mthalani wanafunzi wote wa Elimu ya juu kupata mikopo, wanafunzi wote kugonga misosi shulelini, kuongeza bajeti ya kilimo mara dufu, ya afya elimu, maji, nishati miundombinu mbinu ndio usiseme aisee....

Ukizingua anakutumbua on the sport hakucheleweshi hata sekunde....
 
Sikweli... kinachozungumzwa kwenye vijiwe ni Yanga,Simba na Makonda.
Hayo yatakuwa mawazo yako juu ya mama sa100.
kuja bas apa chini ya muarobaini karume bado nipo....
 
Chawa mbona unasahau kuweka namba ya simu? Chawa mwenzio Lucas anakuzidi ubunifu. Chawa wa majizi ya kura mko vizuri kwenye upambe.
 
nikiwa kiraia zaidi, nimejumuika na wananzengo vijiwe vya kahawa, kashata, kachori na pweza. Stori na hadithi nyingi zimetekwa na jina la Rais, Dr Samia Suluhu Hassan.

Time Will tell.....
Sasa huyu mtu anayejadiliwa kwenye vijiwe vya kachori anatufaa kweli.? Itakuwa na akili ni za kikachorikachori
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…