ni vizuri ukaacha kabisa kijana, halafu wewe kwanza ukipunguza bado utakua chini ya minyororo mateso ya walio kuteka hiyo mindset....Vijana tupunguze matumizi ya bangi sio mazuri kwa afya.
Yes,Sasa huyu mtu anayejadiliwa kwenye vijiwe vya kachori anatufaa kweli.? Itakuwa na akili ni za kikachorikachori
Muhimu ni ule uchumbe wametoa wale wa ungwana dhidi ya Dr.SSH...Chawa mbona unasahau kuweka namba ya simu? Chawa mwenzio Lucas anakuzidi ubunifu. Chawa wa majizi ya kura mko vizuri kwenye upambe.
muhimu si number,Mbona hujaweka namba za simu sasa
Lala bhanamuhimu si number,
hiyo kila moja anayo na anaweza weka kwa malengo yake....
Ile ya maana ni kwamba vijana wa vijiwe vya kahawa, kashata, kachori na pweza wameamua kuchukua mrengo mapema sana....
2025 watamchagua Mama ikiwa atagombea Urais wa JMT..
Ushanifaham mpaka hapo...
😁😁😁😁 Njaa mbaya brotherAtakayechukua Fomu Kushindana na Rais Samia atavuna aibu na kulaaniwa na watanzania. mtu yeyote Asithubutu kuchukua Fomu Kushindana na Rais samia maana aibu atakayoipata kwa hakika atazimia na kupoteza fahamu.
Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe na aliyepewa kibali cha kuongoza Taifa letu.
Kula tayari mkuu nipo namlia timing mpishi apandio waamka bila shaka,
umekula kweli jioni hii?
Sina njaa mimi ndugu yangu😁😁😁😁 Njaa mbaya brother
Sasa nini kinachofanya unajidharirisha hivyo mkuu??Sina njaa mimi ndugu yangu
Ni kejeli aunikiwa kiraia zaidi, nimejumuika na wananzengo vijiwe vya kahawa, kashata, kachori na pweza. Stori na hadithi nyingi zimetekwa na jina la Rais, Dr Samia Suluhu Hassan.
a mno vijiweni.
Kupambana na huyu mama ni kupoteza muda.....
Wacha tusubiri,
Time Will tell.....
NakaziaBara la Afrika ukiwa na Akili timamu fanya kila njia utimkie nje,ukibaki kwenye hili Bara lililojaa watu wajinga na wendawazimu nakuhakikishia UTAIPANDEKA!
ni sawa mukubwa,Nimeandika nikafuta na nikafuta tena na tena, yule mama sijawahi mpenda haki ya nani.
CCM wote nawaombea mpatwe na mabaya tu. Amina.
yaani ukatumikishwe nje 😅Bara la Afrika ukiwa na Akili timamu fanya kila njia utimkie nje,ukibaki kwenye hili Bara lililojaa watu wajinga na wendawazimu nakuhakikishia UTAIPANDEKA!