Kwenye wilaya yako kuna maeneo gani mazuri na vivutio gani kwa utalii wa ndani?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Utalii wa ndani siyo mpaka kwenda Serengeti au kupanda mlima kilimanjaro. Unaweza kutoka Dar ukaenda Bagamoyo kuangalia majengo, ni utalii. Unaweza enda Pugu hill, ni utalii. Siku hizi watu binafsi wameanza kuwekeza na kuboresha maeneo haya. Hii inatengeneza ajira na halmashauri zinapata pesa. ingekuwa safi halmashauri zikishirikiana na watu binafsi kuendeleza na kuboresha maeneo haya.

Huko kwenu ni maeneo gani mazuri ya kutalii?

Huku Mbeya utalii mzuri ni kufanya Trekking and hiking milimani. Mji umezungukwa na milima.


 
Kilalangona wetlands... Kibondo township.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…