Sahihi kabisaa Ile miezi mi3 ya jkt serikali ipeleke watu Veta waongeze vyuo vya ufundi watu wawe na skills za ufundi wowote uleNakuunga mkono sana kwenye hili Mkuu, tena kama kwa sasa hali ya kiuchumi hairuhusu basi badala ya JKT ni afadhali iwe kwenda VETA.
Hata kama sio wote watapata nafasi, hao hao wachache kwa utaratibu utakaoonekana unafaa waende wakajifunze ufundi.
Kuna watu watatetea JKT lakini kiuhalisia ni kupotezeana muda na kutesana bila sababu.
Huku ni kuangalia na kuchambua mambo kwa kutumia shallow mind. Ni yale yale serikali kuhimiza vijana wajiajiri kwenye biashara ndogo ndogo. Unaangalia tilipoangukia na siyo tulipojikwaa. Tatizo letu ni zaidi ya vijana kuwa ujuzi wa VETA. Tatizo letu limeanzia kwenye elimu yetu kuwa ya kukaririsha wanafunzi na siyo kuwaelimisha. BTW mtu bado anaweza kwenda chuo na baadae akajifunza fani ya ufundi.Ni kweli kabisa, kwenye maamuzi inabidi tupime mzani sehemu yenye ujitaji zaidi.
Kwa sasa kuna tatizo kubwa sana la ajira, kwenda veta ni muhimu zaidi kumuandaa kijana awe na ujuzi wa kuanza kujitegemea akikosa ajira ama anavyoendelea kuomba ajira.
Akienda Jkt haitamsaidia akikosa ajira. Ukakamavu wa kujikomboa kiuchumi Veta na muhimu zaidi.
Kwanini isiwe VETA baada ya chuo?Mstari wa mwisho kuwe na Veta kabla ya chuo ndo umebeba dhima yenyewe
[emoji112][emoji112][emoji122][emoji122][emoji122]Maskitiko ni Dharau? Tujitahidi kupunguza makasirko yetu.
Ni msomi huyo ila ameshindwa kudadavua point zilizopo kwa mtoa mada.Hata hujelewa mantiki ya mtoa mada aisee. Hili Taifa hili aisee
Vyovyote vile hata tukiwa na vyuo kama vya wenzetu vinavyotoa ujuzi kama MIT itakua nzuri Sanaa!mfano mtu Ana degree ya useremala au upambaji hiviKwanini isiwe VETA baada ya chuo?
Ndio wasomi wetu hawaHata hujelewa mantiki ya mtoa mada aisee. Hili Taifa hili aisee
Niko na mtazamo tofauti kidogo. Kufungwa kwa makampuni/ kampuni kunaweza sababishwa na hali isiyoridhisha kiuchumi. Logic ya kawaida kabisa, ili kampuni iweze tengeneza faida, lazima kuwe na soko la uhakika kwa bidhaa au huduma zake.Nakuunga mkono sana kwenye hili Mkuu, tena kama kwa sasa hali ya kiuchumi hairuhusu basi badala ya JKT ni afadhali iwe kwenda VETA.
Hata kama sio wote watapata nafasi, hao hao wachache kwa utaratibu utakaoonekana unafaa waende wakajifunze ufundi.
Kuna watu watatetea JKT lakini kiuhalisia ni kupotezeana muda na kutesana bila sababu.
Yaani wewe hata sijaona ulichokosoa hapo umesema yaleyale ya mtu unayempinga.Huku ni kuangalia na kuchambua mambo kwa kutumia shallow mind. Ni yale yale serikali kuhimiza vijana wajiajiri kwenye biashara ndogo ndogo. Unaangalia tilipoangukia na siyo tulipojikwaa. Tatizo letu ni zaidi ya vijana kuwa ujuzi wa VETA. Tatizo letu limeanzia kwenye elimu yetu kuwa ya kukaririsha wanafunzi na siyo kuwaelimisha. BTW mtu bado anaweza kwenda chuo na baadae akajifunza fani ya ufundi.
Siku wakipata Kazi utarudi hapa kulia kuwa ulisaidia ndugu Ila saivi hawakusaidii. Msomi mnalala masikini mnaamka tayari tajiri. Icho Ni kipimo wanapitiaNaumia sana nikifikiria wazazi walivyojinyima kutulipia ada, kuna kipindi walikopa kabisa, naumia sana kuona mategemeo ya wazazi kwa ada walizolipa hayajafikiwa,,, Inauma sana !!
Ukiachana na maumivu ya wazazi na mimi napitia maumivu mazito, kaka na mdogo wangu walisoma kwa juhudi sana, sioni kama ipo fair kwa wanachopitia, walistahili zaidi sana sana sana. mtu alie kwenye unafuu wangu akijisifu ana ahueni basi ni wazi ni mjinga.
Binafsi niliishia form 4 mwaka 2012 shule ilinipita kushoto, mzee aliniambia nijiandae kurudi kijijini, ilibidi nikajiongeza nianze kujifunza chochote nikaingia kwenye useremala kwa msaada wa mjomba wa rafiki (mjini connection), nikawa saidia fundi kidogo nikaweza kuhama hata nyumbani na kumiliki pikipiki, nikajichanga changa na mimi nikawa na ofisi yangu inayonipa kipato si haba kwakweli hata kagari kapo, haikuwa rahisi hata kidogo hasa mwanzoni, kuna kipindi kidume chozi lilinitoka kwa ugeni wa kazi lakini nilikomaa.
Sasa hapo home kuna bro na mdogo wangu wa kike wamemaliza vyuo ngazi ya degree lakini mambo si mambo kiuchumi, bro alihangaika hizi kazi za kujitolea, akaingia kitaa akapata kazi kampuni binafsi kazi kibao malipo kiduchu, alisota miaka minne kampuni ikafungwa na kazi ikaisha,,, ikabidi home pale tujichange tumpe mtaji, ikabidi ajifunze kunyoa nae akafungua ofisi yake, kiuchumi pana nafuu lakini hadi kafika hapo kapitia misoto kwa ukosefu wa ajira za ofisini.
Kwa mdogo wangu nae tangu 2020 alipomaliza chuo hali bado sio poa, ilibidi tujichange change nae apige mwendo, biashara ya keki mara ya kwanza ilibuma kwake akawa yupo home, tukajikusanya kusanya kwa sasa angalau ana kamgahawa kidogo pana unafuu.
Nilichokuwa najiuliza ni kwamba, hizi elimu zinaandaa wengi wawe maofisini wanasukuma kalamu na kukaa kwenye viti wakisubiri mishahara lakini hizi ajira zimekuwa adimu, nimeona kwamba yafaa zaidi kungekuwa kuna veta kabla ya kwenda chuo.
Watanzania kaka wengi tuna makasirikio ukosefu was ajira unawafanya tuwe na roho mbaya mnooo,mtu akiongea vitu vya msingi wanamuona Kama Ana majivuno dogo ameongea vitu vya msingi Ila wamemponda tuu, shidaa ya wasomi wa nchi yetu ni dharau na Kazi ndogondogo hizo tunaamini sio size yetu but Mimi Niko sehemu watu wanauza mbuzi Kuna wasomi kule graduate wamekosa ajira wako wanauza mbuzi Kwa msomali na wamekubali matokeo sidhani kama wataajiriwa Tena maana Wana maisha yao ya uhakika sana tu maana mtu anaeingiza 600k to 800k per week kibongobongo sidhani ni ndogo hiyo!Ni msomi huyo ila ameshindwa kudadavua point zilizopo kwa mtoa mada.
Wanaishia kumkejeli mtoa mada kwa kuwa hana makaratasi.
Wengine wanasema ana dharau wasomi,yeye ametoa wazo la kunusuru wasomi wanaotegemea aitwe apewe kazi ya ofisini tu na kukosa mbinu mbadala.
Halafu watu mnachanganya maana ya neno dharau,angekuwa na dharau asingewachangia ndugu zake na kuwaokoa maana walishakwama kwa kukosa maarifa mbadala ila angalau wanajimudu sasa.
Haya mambo ukiyaangalia kwa haraka haraka unaweza kudhani tatizo ni watu kukosa ujuzi wa ufundi. Lakini tatizo kubwa ni nchi yetu kutokuwa na miongozo, dira na mipango ya maendeleo. Kuna kitu ambacho Tanzania tuna uwezo nacho na tungeweza kujikomboa kabisa kama tungewekeza huko: KILIMO. Dunia nzima bado inahitaji sana chakula. Tungefanya kilimo kiwe uti wa mgongo kiukweli (siyo kinadharia) basi tungefika mbali.Vyovyote vile hata tukiwa na vyuo kama vya wenzetu vinavyotoa ujuzi kama MIT itakua nzuri Sanaa!mfano mtu Ana degree ya useremala au upambaji hivi
Nasema hivi: tatizo letu ni zaidi ya vijana kujua ufundi.Yaani wewe hata sijaona ulichokosoa hapo umesema yaleyale ya mtu unayempinga.
Unakataa kona ila unakubali penati.
Kimaisha ndio katoboa kwakuwa ana fani, ambayo kwasasa kwakuwa watu wanajenga Sana hawezi kukosa pesa, fundi carpenter kazi zikichanganya kwenye mwezi unajikuta unapata pesa hata ya kununua eneo , hususani Kama anafanya na zile kazi za kupaua majumba na za kwenye masaiti,Kwaiyo unajiona ushatoboa Maisha Mkuu?
Mtaacha lini dharau wabongo !!
Akaelimika mpka foo na bado Anazo skills akiwa hata USA anaishi kifalme mnoKuelimika maana yake nini? Au mpaka ufike chuo kikuu.. Africa bado tuna safari ndefu sana.. (Useremala ilikuwa fani moja wapo ya Yesu ujue)
Sio tatizo, hata watanzania wote tungekuwa tunazalisha bidhaa, bado soko lingekuwepo na ni soko kubwa tu. Kwakuwa uzalishaji huo ungefanywa na watu mahiri katika fani zao, basi wangekuwa wanaproduce efficiently, na hivyo kuweza kuuza hata masoko ya nchi nyingine, kwakuwa tunaproduce at absolute advantage.Niko na mtazamo tofauti kidogo. Kufungwa kwa makampuni/ kampuni kunaweza sababishwa na hali isiyoridhisha kiuchumi. Logic ya kawaida kabisa, ili kampuni iweze tengeneza faida, lazima kuwe na soko la uhakika kwa bidhaa au huduma zake.
Sioni hii mantiki ya kuona kupeleka vijana VETA kama suluhu la kile vijana wengi wanakabiliana nacho, tatizo la ajira, logic ni kwamba, hao wataofanikiwa kuhitim mafunzo Veta, wataangukia katika hilo kundi la wadhalishaji (Producers). Ili waweze pata kipato na kujikim lazima bidhaa zao ziwe na soko la uhakika kwa walaji wa mwisho, fikiri tu, kila kijana awe mzalishaji na hakuna soko la uhakika kwa hizo bidhaa, tutakua tumetatua hilo tatizo?
Suluhu la hili, ni lazima kuwe na balance, walioajiriwa na hawa ndio ndio soko la uhakika kwa bidhaa/huduma zitazozalishwa na hao waliojiari kama mnavosisitiza hapo.
Uzalishaji pasipo na soko la uhakika, ni kazi bure.
Wanaofikiri kuwa kila mtu kujiajiri ndio suluhu ni mawili, ama hawana uelewa wa kutosha au wanapuuzia dhana nzima ya biashara.Najaribu kuimagine kila graduate kawa fundi [emoji3][emoji3]
Hawa mafundi tu huku mtaan wanasota.
Sent using Jamii Forums mobile app