Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
Wakubwa shikamoni na wadogo wote hamjambo..
Niseme jambo langu, nimeanza na kujieleza kuwa nimekulia familia ya ibada - Mkristo. Kitu cha kwanza nilichogundua katika maarifa na hekima niliyopata kupitia imani yangu ni kwamba maisha ya binadamu au kila jambo linalotokea kwa binadamu huanzia rohoni ndipo huja katika mwili
Kwa hiyo Ni muhimu sana Kuwa na kumbukumbu ya kila ndoto unayoipata, kuziandika zote kusudi kuzikumbuka.
Ndoto (dreams) zote Zinahusu maisha yako na kupitia ndoto Mungu anaweza kukwambia jambo au kuzungumza nawe.
Moja ya sifa ya mwanamke ambaye nitakua tayari kumuoa awe na uwezo wa kuandika kila ndoto anayoipata bila kusahau hata moja.
Na awe anaamini kuwa Mungu husema katika Ndoto.
Ninampango wa kuanzisha Threads kuhusu Tafsiri za Ndoto kibiblia.
Any one interested on this?
about dream interpretation
🧘♂️ 🧘♀️