mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Mimi kwangu nimepiga marufuku mambo ya kusali sali maana naona hayana uhalisia na hayatakiwi kwenye ulimwengu wa leo.
Mkuu katika hilo nashauri wape kauhuru, waachie ili wasikulaumu. Funika tu kombe mwanaharamu apite. Swali la kujiuliza ni hili, dini ililetwa na Wamisionari ambao nao nao ni wakoloni watangulizi ili waje kuandaa mioyo ya wazee wetu kutawalika, kisha wakaja wenyewe OG sasa(rejea historia form 4).
Nasema hivyo kwa sababu waliotuletea hizo dini kwa sasa wamezikaushia na hawana mpango nazo na hii inamanisha kuwa sisi tumeletea li kitu tumelifakamia hovyo ndo maana tunakuwa nyumbu wa makanisa ya wokovu na kuwa watumwa kutoa sadaka tukitegemea tunamtolea Mungu kumbe tunashibisha wajanja wachache.
Hahahahaha na wahanga wengi wa makanisa ya mchongo ni wanawake
2.Makanisa siku hizi yamekuwa kiwanda cha kutengeneza watu wavivu...
Ni sahihi kabisa, Yesu kwa mujibu wa Biblia alikuja kwa ajili ya wenye dhambi, ila hawa wengi wa sasa ni wavivu tu wanakimbulia slope.
Hawana maarifa ya kufanya kazi kama inavyotakiwa, wengi wamekosa kazi baada ya kumaliza vyuo nk, hawana pa kujishikiza.
wakiamini kukosa na kupata ni mipango ya Mungu
Babu zetu siyo kwamba hawakujua hila hizi za Wazungu, walijua ila hawakuwa na nguvu za kupambana nao, walipambana kwa uwezo wao mwishowe wakashindwa(walikufa kishujaa).
wenye roho nyepesi nyepesi kwenye ku face challenges za life.
Sawa sawa, wavivu ni wengi kama nilivyosema hapo juu... wanaogopa kuwajibika na ku face challenges wakijifariji kwa kutumia vibaya baadhi ya mistari ya Biblia.