Kwetu ni bora uvunje glass cup kuliko kuacha kwenda Kanisani. Kuna mwanamke mwenye sifa hii?

Kwetu ni bora uvunje glass cup kuliko kuacha kwenda Kanisani. Kuna mwanamke mwenye sifa hii?

Ndoto yenye maana na kutoka kwa Mungu ina sifa hizi
1.Unaikumbuka vizuri Kila kitu ulikuwa wapi ,na Nani? , Unafanya nini au umeumwa na kitu gani ,na wapi etc
2.itakukereketa na utaikumbuka Mara Kwa Mara na Kuna wakati itakunyima Amani.
3.kama ikijirudia basi jua Hilo jambo litakuja kutimizwa upesi..

Ni vyema ukatafsiri ndoto kibiblia au Kwa kitabu Cha Imani yako
ELEWA HAKUNA JAMBO LINAMPATA BINADAMU BILA KUJULISHWA KWA NDOTO etc.
Thanks
 
Back
Top Bottom