Kwisha habari yake: Israel Adesanya apigwa kwa mara ya tatu mfululizo na Alex Perreira

Kwisha habari yake: Israel Adesanya apigwa kwa mara ya tatu mfululizo na Alex Perreira

Hawa akina Mackachev wanajua tu kupiga kabali , na kupigana wrestling mkiwa chini. Ila kwenye kurusha ngumi hamna kitu

Ndio maana Khabib akakimbilia kustaafu

Acha utani wewe, Habib yupo vizuri sana. Akikuweka chini umekwisha. Wrestling ni moja ya game plan. Au ulikuwa hufahamu hilo?
 
Hawa akina Mackachev wanajua tu kupiga kabali , na kupigana wrestling mkiwa chini. Ila kwenye kurusha ngumi hamna kitu

Ndio maana Khabib akakimbilia kustaafu
Hao jamaa wamekomaa sana khabib alikua anakula punch za maana tu tatizo lilikuwa kufall kwake ni ngumu na ukiingia 18 zake lazima uishe yani kiufupi hao jamaa wana nguvu.. jiu-jitsu wengi hawaingii kwa wazee wa sambo
 
Sometimes bahati inasaidia. Inabidi kabla ya pambano ufanye tambiko kwanza (joking)

Angalia pambano la Usman na Leon.

Usman was kicking Leon’s ass all for rounds before he got knocked out by one left kick. Na mchezo unaishia hapo.

All in all, nimependa Stylebender ameongea vizuri kwenye post fight. He’s a true warrior.
[emoji38][emoji38]lile pambano sikuelewa limeisha vipi hadi nikajiuliza mbele nako wanatumia uchawi kiukweli leon hamuwezi usman ngoja tusubir iyo rematch lile pambano ni sawa na namungo kumpiga buyern
 
Back
Top Bottom