Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Simba wamekubali kuingia change room wasipofungwa leo nipigwe ban ya week.
mpe haki yake huyu usimuache...
Kumbe wewe ni munyama!
Haina effect hiyo ata log in kwengine
Upigwe sasa hiyo BANKwisha habari yao. Simba wamekubali kuingia change room wasipofungwa leo nipigwe ban ya week..
Kalikuwa kasehemu kadogo tu. Kuwa waingie vyumba vya kubadilishia jersey. Waligoma goma now wameshakubali. Watarudi kuja pokeay⁴
Sijaona jambo.Atendewe neno na roho yake itulie.
Maxence Melo do something healthy for the chap!Are you still asleep?Kwisha habari yao. Simba wamekubali kuingia change room wasipofungwa leo nipigwe ban ya week..
Kalikuwa kasehemu kadogo tu. Kuwa waingie vyumba vya kubadilishia jersey. Waligoma goma now wameshakubali. Watarudi kuja pokeay⁴
Ata log in kwa ID yake nyingine ya Komeo Lachuma.Haina effect hiyo ata log in kwengine
Mkuu naomba usimamie mods wafanye alichoomba. Asante.
Ofkoz ndio mana anajiita chiziHaina effect hiyo ata log in kwengine