Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
😀😀kumbe mods wameshaula kichwa.. nilipoouona nikadhani nyie wamojaUlianzisha Uzi wa KiAdriz sasa upo wapi ?
Haya kaaanzishe tena uzi mwengine.
Depal niliona uliComment kwenye Uzi wa Chizi Maarifa uliofutwa kuwa eti ID ya Maghayo , Chizi na wapuuzi wengine kuwa zinaweza kuwa ni Mimi . Sasa nakutoa hofu kuwa Mimi ni kijana safi ninayejielewa siwezi kumiliki 🆔s za kipuuzi kama hizo.
Mtu kuwa na 🆔s nyingi ni dalili kuwa nati hazipo sawa kichwani na anapitia msongo mkali wa mawazo.
Thank you for the attention of this matter. Adriz The Gun Man Mr Consigliere