Kwisha habari yao. Simba wamekubali kuingia change room wasipofungwa leo nipigwe ban ya week

Kwisha habari yao. Simba wamekubali kuingia change room wasipofungwa leo nipigwe ban ya week

Maxence Melo kwakuwa jamiiforum ni chombo huru na haki, hivyo jambo hili aliloliomba pasipo kulazimishwa bali kwa matokeo halali member Chizi Maarifa anatakiwa kupewa haki yake, kwasababu ametaka kwa hiari yake. nikiwa kama mdau na shabiki wa yanga sina wasiwasi na ombi aliloliomba shabiki mwenzangu kwani huenda ikampunguzia msongo wa mawazo kabla ya kuelekea tarehe 03/05/2026, ambapo mtanange mwengine wa watani wa jadi utachezwa. hivyo basi kwa kuzingatia ombi lake na utani wa jadi kati yetu yanga na simba achapwe BAN kwa siku alizoziomba.

Nikipigwa ban unadhani JF nani ataichangamsha? Nyie wote huwa mnaingia JF kwa kuvizia...
 
Ulivyokuwa unaomba BAN ulikuwa unataka nini??Mod sio wajinga ila mjinga wewe

Mods wanaelewa umuhimu wangu katika JF. na mchango wangu mkubwa. Mimi siyo kama wewe upo upo tu. Sisi ni wadau wakubwa wa JF na washika dau.
 
Mods wanaelewa umuhimu wangu katika JF. na mchango wangu mkubwa. Mimi siyo kama wewe upo upo tu. Sisi ni wadau wakubwa wa JF na washika dau.
Mwenye umuhimu hajipi umuhimu jina lako linasadifu yaliyopo kwenye kichwa chako na ufahamu wako
 
Ki adriz chako kitakuwa kinakuwasha tu... Mi nipo ntakichezea...
Ulianzisha Uzi wa KiAdriz sasa upo wapi ?

Haya kaaanzishe tena uzi mwengine.

Depal niliona uliComment kwenye Uzi wa Chizi Maarifa uliofutwa kuwa eti ID ya Maghayo , Chizi na wapuuzi wengine kuwa zinaweza kuwa ni Mimi . Sasa nakutoa hofu kuwa Mimi ni kijana safi ninayejielewa siwezi kumiliki 🆔s za kipuuzi kama hizo.

Mtu kuwa na 🆔s nyingi ni dalili kuwa nati hazipo sawa kichwani na anapitia msongo mkali wa mawazo.

Thank you for the attention of this matter. Adriz The Gun Man Mr Consigliere
 
Oya jombiz temana na mimi
😂 😆 😂 Wewe na ID zako zote nimeshaziweka Ignore List ni unyama sana sioni tags zako zote ambazo zilikuwa zinanikera sana .

Sasa hivi content zako naamua tu kuziona , kama Sasa niliona chini wameandika "show ignered content" nikajua Nyangwisi de Scumbabag utakuwa umeComment nikaamua kukusoma .

Raha sioni upuuzi wako hata unitukane lakini Mimi nakupiga spana bila kuchoka , Maarassmbus wewe
 
Back
Top Bottom