Kwisha habari yao. Simba wamekubali kuingia change room wasipofungwa leo nipigwe ban ya week


Nikipigwa ban unadhani JF nani ataichangamsha? Nyie wote huwa mnaingia JF kwa kuvizia...
 
Ulivyokuwa unaomba BAN ulikuwa unataka nini??Mod sio wajinga ila mjinga wewe

Mods wanaelewa umuhimu wangu katika JF. na mchango wangu mkubwa. Mimi siyo kama wewe upo upo tu. Sisi ni wadau wakubwa wa JF na washika dau.
 
Mods wanaelewa umuhimu wangu katika JF. na mchango wangu mkubwa. Mimi siyo kama wewe upo upo tu. Sisi ni wadau wakubwa wa JF na washika dau.
Mwenye umuhimu hajipi umuhimu jina lako linasadifu yaliyopo kwenye kichwa chako na ufahamu wako
 
Ki adriz chako kitakuwa kinakuwasha tu... Mi nipo ntakichezea...
Ulianzisha Uzi wa KiAdriz sasa upo wapi ?

Haya kaaanzishe tena uzi mwengine.

Depal niliona uliComment kwenye Uzi wa Chizi Maarifa uliofutwa kuwa eti ID ya Maghayo , Chizi na wapuuzi wengine kuwa zinaweza kuwa ni Mimi . Sasa nakutoa hofu kuwa Mimi ni kijana safi ninayejielewa siwezi kumiliki πŸ†”s za kipuuzi kama hizo.

Mtu kuwa na πŸ†”s nyingi ni dalili kuwa nati hazipo sawa kichwani na anapitia msongo mkali wa mawazo.

Thank you for the attention of this matter. Adriz The Gun Man Mr Consigliere
 
Oya jombiz temana na mimi
πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ Wewe na ID zako zote nimeshaziweka Ignore List ni unyama sana sioni tags zako zote ambazo zilikuwa zinanikera sana .

Sasa hivi content zako naamua tu kuziona , kama Sasa niliona chini wameandika "show ignered content" nikajua Nyangwisi de Scumbabag utakuwa umeComment nikaamua kukusoma .

Raha sioni upuuzi wako hata unitukane lakini Mimi nakupiga spana bila kuchoka , Maarassmbus wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…