Kwisha habari yao. Simba wamekubali kuingia change room wasipofungwa leo nipigwe ban ya week

πŸ˜€πŸ˜€kumbe mods wameshaula kichwa.. nilipoouona nikadhani nyie wamoja
 
πŸ˜€πŸ˜€kumbe mods wameshaula kichwa.. nilipoouona nikadhani nyie wamoja
Mimi last born wa Jf 🀣

Mpaka ELI COHEN ananiogopa anadhani ni mode , Chizi anadhani mimi kama members wengine wa kuwaandikia Uzi wa hovyo Kisha ubaki salama .

"Nyau de Adriz " ilimponza Maghayo mpaka sasa ana permanent ban , now amejificha kwenye kichaka Cha Busu la Kenge ambaye ni loose Nut nyanya kichwani zimekatika
 
Duu nilikuwa nadhani jf naijua kumbe mm ni kama kenge mmoja tu wa porini
 

Ki adriz kinapwita pwita sana
 
Ki adriz kinapwita pwita sana
Itapendeza zaidi ukianzishia Uzi hiyo kama ulivyofanya mwanzo .

Ili ipate kuTrend Jf kama makebo inabidi uweke jitihada katika kuanzisha nyuzi kuhusiana na Hilo kwenye ID zako zote , ukiwa unsishia kwenye comments tu haito trend hiyo
 
Itapendeza zaidi ukianzishia Uzi hiyo kama ulivyofanya mwanza .

Ili ipate kuTrend Jf kama makebo inabidi uweke jitihada katika kuanzisha nyuzi kuhusiana na Hilo kwenye ID zako zote , ukiwa unsishia kwenye comments tu haito trend hiyo
Tayari
 
Mbona hauniTag sasa ?

Niliugumia tu uzi na nikaona Tag ya Depal kwenye comments.

Sasa huo Uzi haupo huu uzi wako wa pili au wa tatu kuhusu KiAdriz unafutwa . Hahahahah!! Asante kwa kujaribu haya jaribu tena baadae na usiogope kunitag.

Pole sana Chizi Maarifa , kwa nyuzi zako kufutwa mara kwa mara nilikuonya Mimi sio sawa na wengine hapa Jf ogopa toka form one nipo Jf na nikajiunga nipo form 3 Mimi nimekulia humu sijui mtandao wowote zaidi ya Jf . Wakubwa wengi wameacha ndala kwa ajili yangu , wamedhalilika na wengine kukimbia .

Maarass jaribu tena , safari ya chizi siku zote ni kutembea umbali mrefu Kisha kurudi na makopo , πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ Pathetic Scumbabag #Kete Zinasukumwa kwa akili sana call me Mr Consigliere the Gun man
 
Maarass!! nimeingilia vita ambayo sio yangu , nimesababisha uzi wako kuhusu Jagina ufutwe .

Nitakusaka mpaka uvunguni, mimi ndio Waziri wa vita Jf .

Teh ! Teh ! Teh ! nacheka kwa dharau 😁 Financial Analyst anzisha mwengine tena #Kete zinasukumwa kwa akili sana . Nikikuta mahali unamuonea member yeyote wa Jf nanunua ugomvi bila kuchoka , Call me Mr Consigliere the Gun man
 

Si umeona watu wamekutag wanakifahamu ki adriz ni nini? πŸ˜‚ So nawe umesoma jinsi wanawake wanavyoondolewa ki adriz? Safi sana. Ujumbe umefika.
 
Kazi yangu ni KuDeal na nyuzi zako za hovyo , karibia nyuzi 5 tayari zipo kwenye dust bean zimefutwa .

Haya bado njoo tena ukiwa Komeo Lachuma na Stability dozi inaendelea .

I always win coz pathetic scumbabags fight like a reckless bull , Maarass
 
Itapendeza zaidi ukianzishia Uzi hiyo kama ulivyofanya mwanza .

Ili ipate kuTrend Jf kama makebo inabidi uweke jitihada katika kuanzisha nyuzi kuhusiana na Hilo kwenye ID zako zote , ukiwa unsishia kwenye comments tu haito trend hiyo

Mwanza nlikufunga uzi kwenye kiadriz?
 
Si umeona watu wamekutag wanakifahamu ki adriz ni nini? πŸ˜‚ So nawe umesoma jinsi wanawake wanavyoondolewa ki adriz? Safi sana. Ujumbe umefika.
Hata wakifahamu sio shida zangu tena napenda wafahamu hiyo ndio trending ninayo taka , sasa ningekuwa sitaki wafahamu nisingekuambia uanzishe Uzi.

Shusha Uzi mwengine mkuu wafahamu wengi zaidi Mimi napenda sana , I really find this so amusing πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜‚ , this is not normal must be an illness or something πŸ˜‚
 
Jagina zinaliwa na kiadriz kinachezewa. Haya waambie wafute. Hayo maneno tayari yameshashika moto. Na makebo makubwa. Mi nataka uwe unakuja tu kusafisha watu wakinyah.
 
Mimi shabiki yako napenda nyuzi zako anzisha Kisha nitag , I find this so amusing πŸ˜† πŸ˜‚
Mi nafurahi kuwa umekuwa mfuasi wangu. Watu watakutag tu maana mimi nafuata wahyi unasemaje. Karibu sana katika wafuasi wangu.
 
Jagina zinaliwa na kiadriz kinachezewa. Haya waambie wafute. Hayo maneno tayari yameshashika moto. Na makebo makubwa. Mi nataka uwe unakuja tu kusafisha watu wakinyah.
Hata Jf kurasa nzima ikajaa matusi kuhusu Mimi sio shida it's fun na ni kiki , hainipunguzii chochote wala kumpa mtu hela

Huoni Leo Jf "Nyau de Adriz ni trend " "Adriz de mbusi " nayo inakimbiza sijawahi kuwakataza wanafanya hivyo sababu napenda trending.

secretarybird ananiita Adriz de mbususu nimekubali na mwanangu sijawahi mshitaki kwa mods .

Andika nyuzi Mzee wa kazi , maneno yawe kidogo nyuzi nyingi . I find this amusing bro , this must be an illness or something πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜†
 
Mi nafurahi kuwa umekuwa mfuasi wangu. Watu watakutag tu maana mimi nafuata wahyi unasemaje. Karibu sana katika wafuasi wangu.
Naunga mkono hoja πŸ’―

I find this amusing πŸ˜† πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…