Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

- Mkuu Mwafrika with all due respect, this is below the belt unless unazo dataz na facts, otherwise bado siamini kwamba this is you!

- Kwa sababu kama ni dataz zipo wazi za DK, ktaka kufungua kampuni ya umeme na Rostam, tena zilitolewa na Dr. Slaa, sasa ya George kua fisadi na karibu na mafisadi, vipi dataz zake mkiziweka hapa tukachambua kuliko kuharibu majina ya vijana wanaotaka kutusaidia taifa letu!

Respect.

FMEs!

Mkuu FMES,

Sikujua kama kuna mashindano kati ya ufisadi wa Mwakyembe na Mwakalinga. Soma vizuri thread yote hii uone yaliyoandikwa kuhusu Mwakalinga kwenda Monduli, ushiriki wa Mwakipesile, na kuhusu kikao cha harambee kilichobuma alichokuwa akiendeshe Ridhiwani.

Zaidi sana mimi natumia kanuni ya kujua mtu kwa marafiki zake. Kama Lowasa, Mwakipesile, Rostam na Ridhiwani ni mafisadi, Na kama hawa ndio wanahusika so far na kampeni ya Mwakalinga, je wewe utasema nini kuhusu Mwakalinga?

Juzi hapa imeongelewa sana hapa kuhusu mpango wa mafisadi wa kupeleka wapinzani kwa baadhi ya wanacmm - Mwakyembe, Mama Kilango, Seleli na wengine. Hiyo thread kaipitie na usome kile ambacho hata wewe ulichangia huko ili upate context ya kinachoongelewa hapa.

Zaidi sana ... Respect kwako pia kamanda.
 
Vijana wanaotaka kusaidia taifa letu? Ni huyu huyu msomi wa IT aliyesomea Poland, aitwaye Mwakalinga? Are you serious? My God!

Huyu ni mganga njaa tu. Maandiko yake hapa JF kwa miaka kadhaa yanaonyesha hivyo.
 
Nikuulize wewe mwenye mpango wa kugawa laptop kyela nzima ili zitumia umeme wa Lowasa wa kutoka Thailand. Otherwise sina sababu ya kuleta waganga wa kutengeneza mvua Tanzania wakati nikitumia mkono mwingine kuchota mabilioni ya pesa za watanzania.

Wewe unasemaje?

Mbona hujibu swali?

Mwiba ana neno lake la SULTAN CCM, wewe naona Mvua na Upepo wa Thailand umekukaa sana mikononi leo. Unashusha kila mara Upepo na Mvua za Thailand. Huna jipya. Sasa nakuuliza hivi Mvua na Upepo wa Thailand kijana wetu uliku-blow?!!!
 
wewe ndio ututhibitishie kwamba Mwakalinga anasapotiwa na RA na Lowasa,tofauti na hapo mwanaume kuwa mbea ni aibu kwa familia na jamii nzima.

Inaonyesha wewe ni mtu wa aina gani, badala ya kujadili hoja unaanza kurusha matusi. I won't follow you on your negative path because I know better than that. Duh! ha ha ha ha ha tunajadiliana tu na watu wengine badala ya kutoa michango yao wanaanza kurusha matusi...LOL!
 
Mbona hujibu swali?

Mwiba ana neno lake la SULTAN CCM, wewe naona Mvua na Upepo wa Thailand umekukaa sana mikononi leo. Unashusha kila mara Upepo na Mvua za Thailand. Huna jipya. Sasa nakuuliza hivi Mvua na Upepo wa Thailand kijana wetu uliku-blow?!!!

ha hahaha .. kulikuwa na swali?

Ama kweli leo Sikonge kapatikana hadi anahitimisha ya wenzake. Unaweza pia ukaitumia hiyo ya mwiba kama unaipenda.

Una lolote la jipya?
 
Vijana wanaotaka kusaidia taifa letu? Ni huyu huyu msomi wa IT aliyesomea Poland, aitwaye Mwakalinga? Are you serious? My God!

Huyu ni mganga njaa tu. Maandiko yake hapa JF kwa miaka kadhaa yanaonyesha hivyo.

Ha ha ha wewe Invicible,

SIkonge atakuambia kuwa Poland ina GDP kubwa kuliko Tanzania. Ukisikia kuishiwa hoja zinazohusu wana Kyela na kuanza kuongelea mambo yasiyo husika basi Sikonge leo alifikia kwenye kifuniko.
 
Vijana wanaotaka kusaidia taifa letu? Ni huyu huyu msomi wa IT aliyesomea Poland, aitwaye Mwakalinga? Are you serious? My God!

Huyu ni mganga njaa tu. Maandiko yake hapa JF kwa miaka kadhaa yanaonyesha hivyo.

Kwani wee umesomea IT wapi? Hata kasemea Poland, kwa nini Lucent technology walimpa kazi miaka kibao hadi akawakimbia? Kwa nini sasa hilo kampuni lake na ukubwa wake huo wanampa kazi bado? Kwani hawajaona cheti chake kuwa alisoma Poland na alizaliwa Tanzania (nchi isiyo na umeme na inategemea siku moja ipate umeme wa Upepo kutoka kwa Mwakyembe na Rostam Aziz - Inawezekana wakarudiana eti).

Je UK unamlisha wewe? Kwenda Tanzania na vitu kibao umemfanyia wewe?

Jamaa kaanza hata Mwakyembe hajawa mbunge. Je pesa zote za miradi yake alipewa na Lowasa? Yaani miaka yote hiyo walikuwa wanampika ili aje ampindue siku moja Dr wa sheria aliyekuwa miaka hiyo ni Mwalimu wa UDSM na Mwakipesile ndiyo Mbunge?

Watu wengine bana, wanazuka tu kama askari wa miamvuli.
 
Spinning zimeanza, Kiongozi na Kamanda FMES, uliishawahi kuja hapa na kulithibitisha jamvi Mwakalinga hana mpango wa kugombea Kyela yuko vacation tu aliyoianzia Monduli, mbuga za wanyama huko northen circuit, akaenda Zanzibar etc etc, ulipobanwa ukaja na utetezi tata kuwa katiba haijavunjwa yeye kugombea, this is a fact lakini mimi mpiga kura siwezi mwamini huyu mgombea kigeu geu, na ahadi zake kupitia wapambe wake. Leo unakuja na lingine kama kawaida umeongea naye anakanusha maandishi ya gazeti, Kamanda unaheshima zako hapa JF usijiingize kwenye mambo ya aibu hapo mbeleni.....usije banwa ukaishia sema hakuna sheria iliyoparaganywa.

Respect

Masa

- Mkulu Masa wewe unanijua vizuri sana, niamuamini sana George na watu wenye kujiheshimu humu ndani kama yeye, hajawahi kunidanganya hata siku moja, infact ni mmoja wa member wachache sana ninaowaheshimu na kuwaamini kuliko humu JF. Na siku George akinidanganya utakuwa ndio mwanzo na mwisho wangu kujihusisha naye, hilo kwangu huwa wala sifikiriii mara mbili.

- Ninaona juhudi kubwa sana za kutaka kuugeuza mjadala wa George na Kyela, kwenye level za Yanga na simba, kugombea ubunge kuna sheria zake mkuu, Zitto alisema hagombei na sasa ameamua kugombea tena, kwamba hilo linamfanya Zitto awe less ya umahiri wa uongozi kwa taifa, huo ni uamuzi wako, ila kwangu knowing politics as I do hili kwangu ni none-ishu, kwa sababu nitajaza thread nzima na mifano ya viongozi walioshia kuwa maarufu sana duniani na hii promise ya one day kutogombea na next wakagombea, kumbuka Hillary wakati anagombea Senate NY, aligoma kata kata kwamba hana nia ya urais, lakini you know the rest of the story. Sasa eti heshima yangu hapa JF itaharibika wka sababu sijali ishu ndogo ndogo za siasa kama hii ya Hillary, basi kwa standard zako Masa hata Obama hana heshima kwa kumpa kazi huyu mama aliyesema hagombei lakini akagombea au?

- Sasa kama nia yako na yenu ni kumshambulia na kumchafua George, naomba mje na facts au dataz, ama sivyo mtaishia kujishusha hadhi na hasa ya hii forums, ninasema hivi article iliyoandika juzi ilikuwa very low kwa mtu wa calliber ya George, kwamba eti anagombea ubunge kwa sababu aliwahi kuwa mweka hazina wa Tanzanite, that is low mkuu.

- Mimi unaifahamu vizuri, kama unataka kuubadili huu mjadala kuwa FMES unakaribishwa sana, lakini binafsi nitaendelea kusimamia common sense na fairness, ninasema so far sijaamua kutoa my 100% support kwa nani kati ya DK na George, lakini pole pole nitazichambua facts za pande zote mbili na kutoa uamuzi, halafu hata na mimi ninaweza kuishia kuchukua fomu vile vile kwa hiyo mkuu, huu ni mwanzo tu yanakuja mengi sana, relax and chill out!

Respect.

FMEs!
 
Inaonyesha wewe ni mtu wa aina gani, badala ya kujadili hoja unaanza kurusha matusi. I won't follow you on your negative path because I know better than that. Duh! ha ha ha ha ha tunajadiliana tu na watu wengine badala ya kutoa michango yao wanaanza kurusha matusi...LOL!

Asante sana BAK,

Umefanya la maana sana kutotoa heshima kwenye hiyo lugha chafu ya MkamaP. Yeye na wenzake (ambao baadhi wamefungiwa kwa kutoa lugha chafu sana hapa jamvini) walitegemea kupata mteremko na sifa kedekede hapa JF eti kwa vile tu huyo Mwakalinga alikuwa mwanachama hapa.

Walichokipata hapa, na yanayoendelea kuwapata Kyela yamewachanganya sana na wameanza lugha hizo.
 
"Mimi nashangaa kwamba Uzoefu wa Mwakalinga pekee na tanzanet na hapa JF.Hili pekee na maandiko yake kwa kweli nimepatwa na wasi wasi .Kila siku alikuwa anamkukana Mbowe kumbe alijua anacho kifanya .
 
Kwani wee umesomea IT wapi? Hata kasemea Poland, kwa nini Lucent technology walimpa kazi miaka kibao hadi akawakimbia? Kwa nini sasa hilo kampuni lake na ukubwa wake huo wanampa kazi bado? Kwani hawajaona cheti chake kuwa alisoma Poland na alizaliwa Tanzania (nchi isiyo na umeme na inategemea siku moja ipate umeme wa Upepo kutoka kwa Mwakyembe na Rostam Aziz - Inawezekana wakarudiana eti).

Hata kama angekuwa amefanya kazi NASA au ikulu ya marekani so what. Hiyo haina uhusiano wake na kazi anayoitaka ya kuwa mbunge wa Kyela.

Je UK unamlisha wewe? Kwenda Tanzania na vitu kibao umemfanyia wewe?

Jamaa kaanza hata Mwakyembe hajawa mbunge. Je pesa zote za miradi yake alipewa na Lowasa? Yaani miaka yote hiyo walikuwa wanampika ili aje ampindue siku moja Dr wa sheria aliyekuwa miaka hiyo ni Mwalimu wa UDSM na Mwakipesile ndiyo Mbunge?

Watu wengine bana, wanazuka tu kama askari wa miamvuli.

ohhhhh ohhhh,

Sasa kwa vile Mwakyembe alishirikiana na Lowasa (hawa wote ni wanaccm) kabla hawajakosana basi ndio Mwakalinga akaamua kwenda Monduli?

Naona Sikonge uendelee kuandika hapa ili umfunue Mwakalinga vyema kwa wana JF na wana Kyela.
 
Kwani wee umesomea IT wapi? Hata kasemea Poland, kwa nini Lucent technology walimpa kazi miaka kibao hadi akawakimbia? Kwa nini sasa hilo kampuni lake na ukubwa wake huo wanampa kazi bado? Kwani hawajaona cheti chake kuwa alisoma Poland na alizaliwa Tanzania (nchi isiyo na umeme na inategemea siku moja ipate umeme wa Upepo kutoka kwa Mwakyembe na Rostam Aziz - Inawezekana wakarudiana eti).

Je UK unamlisha wewe? Kwenda Tanzania na vitu kibao umemfanyia wewe?

Jamaa kaanza hata Mwakyembe hajawa mbunge. Je pesa zote za miradi yake alipewa na Lowasa? Yaani miaka yote hiyo walikuwa wanampika ili aje ampindue siku moja Dr wa sheria aliyekuwa miaka hiyo ni Mwalimu wa UDSM na Mwakipesile ndiyo Mbunge?

Watu wengine bana, wanazuka tu kama askari wa miamvuli.

You sound like Mwakalinga himself! Mmhhh!
 
Asante sana BAK,

Umefanya la maana sana kutotoa heshima kwenye hiyo lugha chafu ya MkamaP. Yeye na wenzake (ambao baadhi wamefungiwa kwa kutoa lugha chafu sana hapa jamvini) walitegemea kupata mteremko na sifa kedekede hapa JF eti kwa vile tu huyo Mwakalinga alikuwa mwanachama hapa.

Walichokipata hapa, na yanayoendelea kuwapata Kyela yamewachanganya sana na wameanza lugha hizo.

Mkuu Mwafrika, ahsante sana Mkuu. Unajua JF pia ni shule kubwa sana wote hapa tunajadiliana kwa manufaa ya nchi yetu hatuna sababu zozote za kuanza kurushiana matusi badala ya kujadili hoja husika pamoja na kila mmoja wetu kuyajua matusi tena hata yale ya nguoni.
 
Mkuu FMES,

Sikujua kama kuna mashindano kati ya ufisadi wa Mwakyembe na Mwakalinga. Soma vizuri thread yote hii uone yaliyoandikwa kuhusu Mwakalinga kwenda Monduli, ushiriki wa Mwakipesile, na kuhusu kikao cha harambee kilichobuma alichokuwa akiendeshe Ridhiwani.

Zaidi sana mimi natumia kanuni ya kujua mtu kwa marafiki zake. Kama Lowasa, Mwakipesile, Rostam na Ridhiwani ni mafisadi, Na kama hawa ndio wanahusika so far na kampeni ya Mwakalinga, je wewe utasema nini kuhusu Mwakalinga?

Juzi hapa imeongelewa sana hapa kuhusu mpango wa mafisadi wa kupeleka wapinzani kwa baadhi ya wanacmm - Mwakyembe, Mama Kilango, Seleli na wengine. Hiyo thread kaipitie na usome kile ambacho hata wewe ulichangia huko ili upate context ya kinachoongelewa hapa.

Zaidi sana ... Respect kwako pia kamanda.

- Kwa hiyo mkuu unasema kwamba mawazo yako mengi kwenye hii thread unatumia hizi facts zenye maneno mekundu au kuna zingine?

- Jana nilisema kwamba maadui wa DK, automatically wanakuwa washabiki wa George, lakini haina maana ni lazima iwepo any connection kati yao, kama ipo muionyeshe basi hapa, maana kuna wakati tuliambiwa aliongea na wananchi huko Kyela hotelini, lakini koroho!

- Kwamba mafisadi wamekuwa wakiwatayarisha watu kuwasumbua wabunge mashujaa, sio siri lakini haina maana kila atkayejitokeza kwenye hayo majimbo basi ametumwa that is just another low na ni below the belt, hayo uliyoyasema hapo juu ni habari tu ambazo hazina ukweli wowote zaidi tu ya politics za Tanzania za kuchafuana, wekeni facts na dataz wakuu!

Respect.

FMEs!
 
Hata kama angekuwa amefanya kazi NASA au ikulu ya marekani so what. Hiyo haina uhusiano wake na kazi anayoitaka ya kuwa mbunge wa Kyela.
.

Sasa kuandika na kucheka kuwa alisomea Poland, kulitokea wapi? Mbona hao Wazungu hawakucheka kuona jamaa kazaliwa Kyela? Hadi ukaandika Poland my foot. Nimekupa data ya nchi aliyosomea jamaa sasa unaanza kukimbia na kusema SO WHAT? Watu tunaenda kwa data hapa.

Halafu ujubu swali:\ Siku nzima wasifia MVUA na UPEPO wa Thailand uliotengenezwa na IT wa Poland (your foot), je huu upepo uliku-BLOW?!!
 
Yap, ndiyo mimi. now what??

Okay ,.. tulikuwa wapi?

1. Je ni kweli una mpango wa kugawa Laptop kwa wana Kyela wote?
2. Je ulifuata nini Monduli (kwa mzee wa mvua za Thailand)
3. Je ni kwa nini Ridhiwani Kikwete alikimbia ile harambee yako ya Kyela?
4. Je Mwakipesile na mwenyekiti wa ccm mkoa wa Mbeya wanakuunga?
5. Je umeruhusiwa kuanza kampeni kabla ya muda wake?
6. Je utarudi tena Polandi (ha ha h aha)
7. Kuna taarifa kuwa unapokea michango toka kwa watu wasio wa Kyela, ni kweli?

..... itaendelea.
 
Sasa kuandika na kucheka kuwa alisomea Poland, kulitokea wapi? Mbona hao Wazungu hawakucheka kuona jamaa kazaliwa Kyela? Hadi ukaandika Poland my foot. Nimekupa data ya nchi aliyosomea jamaa sasa unaanza kukimbia na kusema SO WHAT? Watu tunaenda kwa data hapa.

Sikonge, hata kama wazungu na wachina wote walimpa kazi Mwakalinga bado hiyo si sababu pekee ya kumfanya awafae watu wa Kyela.

Halafu ujubu swali:\ Siku nzima wasifia MVUA na UPEPO wa Thailand uliotengenezwa na IT wa Poland (your foot), je huu upepo uliku-BLOW?!!

Upepo wa Thailand hauna nguvu ya kublow yeyote yule so swali lako linajijibu lenyewe. Next
 
ninasema hivi article iliyoandika juzi ilikuwa very low kwa mtu wa calliber ya George, kwamba eti anagombea ubunge kwa sababu aliwahi kuwa mweka hazina wa Tanzanite, that is low mkuu.
Kiongozi FMES

Nimekusoma tupo pamoja! Nimependa pamoja na kuwa unafahamiana na George lakini hana support yako 100% nadhani sababu na mimi nazifahamu na ninaheshimumaamuzi yako hata kama ni ya kisiasa zaidi. Kamanda wangu, kuwa open minded kuna siku uliandika hapa kuwa waandishi wa wengi wa Tanzania ni reporters na nilikupa thanks, leo utanithibitishiaje kuwa Mwakalinga hakuwa chanzo cha habari? Tanzanet, Kusomea IT Poland, Kuanzisha JF and all sort?
Hakuna grounds za kubishania hili, labda george aliteleza mwandishi akalinasa....sasa kama mhariri aliongezea hizi kikwetu tunaita porojo ama mazungumzo baada ya habari.
Kibaya zaidi post za huyu mwanaJF ukisizoma kwa makini zote zinalalia mrengo ule mwingine najua wewe unaakili umenielewa, ndiyo sababu kwa watu makini kama wewe ukiingia kichwa kichwa credibility yako itakuwa hanging on a narrow string!Endelea kuwa neutral na hata strategies za bwana Mdogo George (Nimemzidi Umri) ziweze kuleta upinzani, hizi habari za akina Ridhiwani Mwakipesile na wapembe njaa mwisho wake hautakuwa mzuri, usiwe msemaji ama microphone ya George maana siku ya siku tutakuuliza mzee FMES kiko wapi? Mbogo Mh George ametusaliti? Kumbe atakuwa analipa fadhira kwa akina EL na RC

Respect

Masa
 
Back
Top Bottom