Mwakyembe.Umati huo kwa kauli moja hatimaye ukakubaliana kuwa Dr Mwakyembe akiwa kwenye jimbo lake la Kyela aitwe "Obama"
Kuna uhusiano gani kati ya Mwakyembe na Papa Wemba?
WOTE NI WASANII...................
(Jina la KURU, alitumia kwenye film ya La Vie est Belle.
Yaliyoelezwa kwenye mkutan huo ni mengi sana,na kama una taka kuyajua kwa ufanisi basi piga simu hii ili uelezwe zaidi 0784 370 227
hahahahahahahahahahah!angalia mkuu sikonge utakorofishana na kundi la watu hapaMsalimia mama wa Kimarekani anayetutunzia Mtanzania mwenzetu.
Lakini humo mote hakuna pichakama upo TZ nunua tanzania daima au nipashe hii habari imetoka sio huzushi kweli huyu mtu ni OBAMA
Mwakyembe mwenyewe akihutubia huku kasimama kwenye meza iliyotandikwa bendera ya Taifa tena akilindwa na wazee maarufu wa mji wa Kyela akiwemo mzee Mboka,Mzee Hasab Baba,Mzee Mwakanyika na wengine wengi aliwashukuru sana wakazi wa Kyela kwa kumuunga mkono na akahaidi kuwatumikia kwa moyo mkunjufu zaidi!
Msanilo.
Kumbe wewe ni secretary.
Ndiyo maana una muda mwingi wa kuandika pumba na ujinga mwingi sana hapa.Mwanzo nilipoletewa CV yako nilibisha na sasa nimeamini. Hongera sana sana .Nsesi amekwenda wapi?
Safi sana Mh Mwakyembe sisi wanaKyela daima tutakuunga mkono.....mpiganaji.....wale wa uzao wa ufisadi wakaogombee Zimbabwe! Umenisikia Mwakalinga?
Kwa uzoefu wangu wa JF, ukiona wapambe hapa wanashindana kwa vikumbo jua mambo hayako shwari kwa mabwana zao.
Inaelekea kujitokeza kwa Mwakalinga kumewatisha sana wapambe. Njooni muje mujiandikishe hapa Kyela maana uchaguzi utaamuliwa hapa Kyela na wala sio JF
. Mtu unakaa Texas na kuzua mambo, si rudi TZ uje ushiriki siasa ki kweli kweli?
.Kama mambo ni haya, basi sasa hata habari za uchaguzi toka sehemu zingine nitakuwa siziamini kabisa
Habari za huu mkutano mimi nilishaziandika siku ile ile baada tu ya mkutano, leo nimecheka kweli niliposoma thread ya Malafyale.
Kikolo Malafyale, ulintungulu ngati ulinkikulu?
Kakusikia mkuu wangu. Ila kuelewa ndiyo kivumbi maana hata mie hili neno sijawahi lisikia, "WAKAOGOMBEE???"
Wapambe wa Obama wakiingia Kyela. Masanilo yuko juu kabisa na kashavalia tayari tayari yellow vest ya Njano.
Kakusikia mkuu wangu. Ila kuelewa ndiyo kivumbi maana hata mie hili neno sijawahi lisikia, "WAKAOGOMBEE???"
Wapambe wa Obama wakiingia Kyela. Masanilo yuko juu kabisa na kashavalia tayari tayari yellow vest ya Njano.
nafikiri hamna haja ya kusema mwingine ni mwongo au la bali ukweli utakuja kuwa wazi si mda mrefu. inaelekea kuna watu wanawapigia kampeni watu fulani hapa nasisi tunaingia katika mtego wao. whether u support or not but if you have read it and see its contents so the news has already been spread as intended. to invoke discussion in support or against him so that one becomes popular. mimi namjua Mwakyembe toka mwaka nikisoma sheria University of Dar es Salaam akinifundisha sheria za jinai (criminal law) so i dont want to say anything in support or opposing it.
Jamani hii picha ni wapi???
Kwenye msafara wa mamba na ----- hawakosi, Tumwombee KAMANDA aishi maisha marefu au siyo! Tupambane na mafisadi tukomboe TZ na tutashinda kwa kuanzia humuhumu JF.
msg sent